Category: Makala
Biashara ya mkaa inavyochagiza uharibifu wa mazingira
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Ukataji wa miti ni changamoto katika jitihada za kulinda misitu hasa nchi zinazoendelea kwa sababu ya watu kukata miti kwa ajili ya mkaa, kuni pamoja na mbao . Athari za ukataji miti ni nyingi na katika hatua…
Elimu afya ya uzazi kwa vijana itakavyomaliza mimba zisizotarajiwa
Na Stella Aron JamhuriMedia Suala la afya ya uzazi lina mchango mkubwa sana katika kutimiza ajenda ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ifikapo mwaka 2030. Suala hii linaenda sanyari na idadi ya watu, rasilimali zinazohitajika na hata mustakabali wa…
Ukosefu wa ofisi za madini Tarime, changamoto kwa wachimbaji
Na Helena Magabe, JAMHURI MEDIA Tarime. UKOSEFU wa ofisi za madini Wilayani Tarime ni changamoto kubwa kwa wachimbaji na wamiliki wa mashimo ya dhahabu. Licha ya kuwa Wilaya hii imejaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na madini ya dhahabu karibia kila…
Wawili wapandikizwa uume Benjamini Mkapa
Wanaume wawili waliokuwa na matatizo ya nguvu za kiume kutokana na matatizo mbali mbali ya kiafya, wamefanyiwa upasuaji na kupandikizwa uume katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkoji…
Soko la mabilioni kuchochea uchumi Tarime
Na Immaculate Makilika- MAELEZO Mkurugenzi Mtendaji wa Mji Tarime, Gimbana Ntavyo anasema kuwa ujenzi wa soko la kisasa unaoendelea mkoani Mara katika halmashauri yake utasaidia kuchochea biashara katika Mji wa Tarime pamoja na kutoa fursa ya kufanya biashara na nchi…
Madaktari bingwa wa moyo JKCI watia fora Malawi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanikiwa kuwapatia matibabu ya kibingwa wagonjwa zaidi ya 724 wa moyo nchini Malawi walikoweka kambi ya siku tano. Matibabu hayo yamefanikiwa chini ya uratibu wa Kamati…