JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Uamuzi wa Busara (3)

Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha ‘Uamuzi wa Busara’, tulisoma kuhusu uamuzi wa TANU kwenda Umoja wa Mataifa (UNO). Wajumbe wa Kamati Kuu ya TANU waliandika ujumbe kwa wajumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa waliotumwa nchini kuja kuchunguza hali…

Utaratibu wa kisheria katika kununua ardhi

Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Tunayo ardhi iliyosajiliwa na ardhi ambayo haikusajiliwa. Ardhi ambayo imesajiliwa ni ardhi iliyopimwa au maarufu ardhi yenye hatimiliki, wakati ardhi ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha hiyo. Na ardhi tunamaanisha viwanja, nyumba au mashamba. Pamoja…

MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (3)

Maisha ni mtihani, uufanye Ili mwanafunzi apande darasa kuna mtihani ambao atapewa ili aufanye, anaposhinda mtihani huo ndipo anapopata nafasi ya kupanda darasa, akishindwa anarudia darasa. Maisha vilevile yanatupa mitihani ambayo hatuna budi kuifanya. Anayekwepa mtihani wake hawezi kusonga mbele,…

‘Wapatanishwe’ (1)

Nilisoma katika gazeti moja la kila siku Jumatatu, Machi 16, 2020 lenye kichwa cha habari ‘WAPATATISHWE’ na chini yake palikuwa na maneno yalisomeka hivi: ‘Ni ushauri wa viongozi wa dini na wachambuzi kutokana na msuguanao baina ya wanasiasa na vyombo…

ALFRED NOBEL

Aliteswa na uvumbuzi wake Umewahi kumsikia mtu aliyejirudi, akabadilika kutoka mtu mbaya katika jamii na kufariki dunia akiacha sifa nzuri lukuki nyuma yake?  Mmoja wa watu hao ni Mtume Paulo, ambaye kabla ya kuongoka na kuwa ‘Mtu wa Mungu’, aliongoza…

Bunge litunge ‘Sheria ya Corona’

Vita dhidi ya corona ni zaidi ya masuala ya utabibu. Ni vita ya kuunusuru uhai wa watu na uchumi. Tangu mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) uliporipotiwa kwa mara ya kwanza Desemba…