Category: Makala
GePG inavyoyapaisha mapato ya Serikali
Mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali yasiyokuwa ya kodi umezidi kuimarika kuthibitisha umuhimu wake katika kuongeza mapato, pongezi kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa kuanzisha Government e-Payment Gateway kwa kifupi GePG. Katika kuhakikisha kuwa ukusanyaji wa mapato ya…
Sekta binafsi ipitie upya tozo
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kauli kuwa Tanzania ni ghali sana katika Sekta ya Utalii kwa maana ya gharama anazotumia mtalii kuanzia safari ya anakotoka hadi gharama atakazotumia awapo nchini. Kwanza, ieleweke kuwa gharama hizi zitumiwazo na watalii zimegawanyika…
Jamii iamrishe mema, ikataze maovu
Matendo na miamala yote itendwayo duniani inagawanyika katika makundi mawili ya mema na maovu. Kila nafsi imepewa uwezo wa kuyajua mema na maovu kabla ya kusomeshwa au kuambiwa na mwingine, kwani tayari ilishajengewa uwezo wa kuyajua mema na maovu kama…
Vijana na mapinduzi ya Tanzania – (2)
Narudia kutamka kwamba vijana ni nguvukazi mahali popote. Ni kundi kubwa kuliko la wazee katika kufanya kazi. Ni kundi jipya lenye fikra na mawazo mapya, fahamu pevu, imara na jasiri katika kupambana na vikwazo vya uchumi au mambo ya dunia….
BUZWAGI INAFUNGWA… Wananchi wanaachwa vipi?
Mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi uliomo ndani ya Manispaa ya Mji wa Kahama unatarajia kuacha uzalishaji Juni mwaka huu, na kufungwa kabisa ifikapo mwaka 2026. Bila shaka habari hii si njema sana kwa wakazi wanaouzunguka mgodi huo, kwa kuwa…
Yah: Uvumi wa mambo kwa teknolojia
Kama kawaida lazima nianze na salamu, ndio uungwana ambao sisi tuliozaliwa zamani tulifundishwa bila viboko wala matusi. Tulifundishwa na mtu yeyote aliyekuzidi umri lakini pia tuliwasikiliza na kuwatii waliotuzidi umri kama wazazi wetu, lakini pia tulipokea adhabu kutoka kwa yeyote….