JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Jamii iamrishe mema, ikataze maovu

Matendo na miamala yote itendwayo duniani inagawanyika katika makundi mawili ya mema na maovu.  Kila nafsi imepewa uwezo wa kuyajua mema na maovu kabla ya kusomeshwa au kuambiwa na mwingine, kwani tayari ilishajengewa uwezo wa kuyajua mema na maovu kama…

Vijana na mapinduzi ya Tanzania – (2)

Narudia kutamka kwamba vijana ni nguvukazi mahali popote. Ni kundi kubwa kuliko la wazee katika kufanya kazi.  Ni kundi jipya lenye fikra na mawazo mapya, fahamu pevu, imara na jasiri katika kupambana na vikwazo vya uchumi au mambo ya dunia….

BUZWAGI INAFUNGWA… Wananchi wanaachwa vipi?

Mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi uliomo ndani ya Manispaa ya Mji wa Kahama unatarajia kuacha uzalishaji Juni mwaka huu, na kufungwa kabisa ifikapo mwaka 2026. Bila shaka habari hii si njema sana kwa wakazi wanaouzunguka mgodi huo, kwa kuwa…

Yah: Uvumi wa mambo kwa teknolojia

Kama kawaida lazima nianze na salamu, ndio uungwana ambao sisi tuliozaliwa zamani tulifundishwa bila viboko wala matusi.  Tulifundishwa na mtu yeyote aliyekuzidi umri lakini pia tuliwasikiliza na kuwatii waliotuzidi umri kama wazazi wetu, lakini pia tulipokea adhabu kutoka kwa yeyote….

Uamuzi wa Busara (3)

Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha ‘Uamuzi wa Busara’, tulisoma kuhusu uamuzi wa TANU kwenda Umoja wa Mataifa (UNO). Wajumbe wa Kamati Kuu ya TANU waliandika ujumbe kwa wajumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa waliotumwa nchini kuja kuchunguza hali…

Utaratibu wa kisheria katika kununua ardhi

Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Tunayo ardhi iliyosajiliwa na ardhi ambayo haikusajiliwa. Ardhi ambayo imesajiliwa ni ardhi iliyopimwa au maarufu ardhi yenye hatimiliki, wakati ardhi ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha hiyo. Na ardhi tunamaanisha viwanja, nyumba au mashamba. Pamoja…