Category: Makala
Umoja ni ufanisi
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Hii ni methali kongwe katika lugha yetu ya Kiswahili, ikiwa ibebeba ujumbe muhimu katika kuongoza watu kupata ufanisi mkubwa pindi wanapoamua kufanya jambo katika hali ya kushirikiana. Watu walio makini mara nyingi wanapenda kufanya…
Epuka malumbano ya Ukristo na Uislamu Mtandaoni
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yakiwamo matumizi na mitandao ya kijamiiyamewezesha wepesi na ukaribu wa mawasiliano ya watu duniani kiasi chakuthibitisha ukweli wa ‘Dunia Kiganjani’ au ‘Dunia kama kijiji kimoja.’ Pamoja na manufaa haya bado ukweli ulio dhahiri ni kuwa…
Wanaomzushia majanga JK mizimu itawaumbua
BAGAMOYO Na Umar Mukhtar Wapo baadhi ya watu wasiotaka kukiri kuwa miongoni mwa wanasiasa waliowahi kutokea Afrika ambao ni wajuzi wa mapiku ya kisiasa na masuala ya utawala kuwahi kutokea; watu wenye maarifa mapana na mizungu ya kisiasa wanaozijua vema…
Pumzika Jenerali Tumainiel Kiwelu
Na Joe Beda Rupia Luteni Jenerali Tumainiel Kiwelu ni mmoja wa viongozi watakaokumbukwa daima katika Mkoa wa Rukwa, hasa mjini Sumbawanga. Ndiyo, Jenerali Kiwelu. Hakika ameacha alama zisizofutika. Ninashindwa nianzie wapi katika kumuelezea mwamba huyo wa Vita ya Kagera. Anyway,…
Majaliwa kauvae u-Sokoine
DAR ES SALAAM Na Javius Byarushengo “Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda…
TAMISEMI chunguzeni tuhuma za madiwani
GEITA Na Antony Sollo Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Kitengo cha ukusanyaji mapato wamemuomba Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu, kuunda tume ya wataalamu kufanya uchunguzi kubaini ukweli kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za…