Category: Makala
Binti Arusha aweka rekodi
ARUSHA Na Hyasinti Mchau Binti wa Arusha, Rawan Dakik (20), ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza mwanamke kupanda Mlima Everest. Mlima huo uliopo nchini Nepal, barani Asia, ndio mrefu kuliko yote duniani, kilele chake kikiwa mita 8,849. Rawan, amerejea…
Nafasi ya mwanamke katika Uislamu
Makala hii yenye anuani ‘Nafasi ya mwanamke katika Uislamu’ inakusudia kuweka wazi namna Uislamu ulivyompa heshima mwanamke, kinyume cha yale madai kuwa Uislamu umemdhulumu mwanamke na umemnyima haki zake mbalimbali. Wakati mwingine madai kama haya yanatokana na kukosa kipimo sahihi…
Vijana ni nguvu ya taifa
Taifa lolote duniani linajengwa na nguvu kubwa ya vijana. Wao ndio kundi kubwa na pana katika shughuli za kila siku za binadamu. Ingia katika fani yoyote utakutana na vijana. Rika hii muhimu inaanzia katika umri wa miaka saba hadi thelathini…
Yah: Hapa ndipo tumefika
Kuna wakati niliwahi kuandika waraka nikauliza baadhi ya maswali ambayo nilidhani waliosoma wangesema hili tulijadili kidogo badala ya kupita kimyakimya. Haikuwa hivyo, na kwa kweli ninaendelea kuumia sana kwa sababu sioni mahali ambapo tunasisitiza kuacha majungu. Badala yake tunatafuta namna…
Uhalali wa wabunge 19 wa Chadema
DODOMA Na Mwandishi Wetu Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala juu ya uhalali wa kuwapo wabunge 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama sehemu ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takriban miezi mitano…
Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…