Category: Makala
Vijana ni nguvu ya taifa
Taifa lolote duniani linajengwa na nguvu kubwa ya vijana. Wao ndio kundi kubwa na pana katika shughuli za kila siku za binadamu. Ingia katika fani yoyote utakutana na vijana. Rika hii muhimu inaanzia katika umri wa miaka saba hadi thelathini…
Yah: Hapa ndipo tumefika
Kuna wakati niliwahi kuandika waraka nikauliza baadhi ya maswali ambayo nilidhani waliosoma wangesema hili tulijadili kidogo badala ya kupita kimyakimya. Haikuwa hivyo, na kwa kweli ninaendelea kuumia sana kwa sababu sioni mahali ambapo tunasisitiza kuacha majungu. Badala yake tunatafuta namna…
Uhalali wa wabunge 19 wa Chadema
DODOMA Na Mwandishi Wetu Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala juu ya uhalali wa kuwapo wabunge 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama sehemu ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takriban miezi mitano…
Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…
Viwavi wenye sumu kali waibuka Virginia
Wana manyoya mithili ya manyoya ya paka na kwa ukaribu wanaonekana ni wazuri sana kuwachezea. Lakini amini usiamini, viwavi hao aina ya puss ni viumbe wasiopaswa kukaribiwa na binadamu hasa nchini Marekani. Hii ni kwa sababu aina hiyo ya viwavi…
SHUKRANI NI MTAZAMO Shukrani ina nguzo saba
Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Kuna ambao wanatazama walivyonavyo wanashukuru. Kuna ambao wanatazama wasivyo navyo wanalalamika. Shukrani ni mtazamo. “Shukuru kwa ulivyonavyo; utaishia kuwa na zaidi. Ukifikiria ambavyo hauna, havitatosha kamwe,” alisema Oprah Winfrey. Wanawake ambao hujishughulisha na kufua nguo…