JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Katiba imara bila taasisi imara ni unyang’au tu!

DODOMA Na Javius Byarushengo Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, alipofanya ziara nchini Ghana mwaka 2009 akiwa madarakani, alisema kuwa ili Bara la Afrika lipate maendeleo, halihitaji kuwa na watu imara bali taasisi imara. Kimsingi Obama, Mmarekani wa kwanza…

UHURU WA MAREKANI:  Je, inajifunza kutokana nao?

Zanzibar Na Masoud Msellem Julai 4, kila mwaka dola ya Marekani huadhimisha siku ya kumbukumbu ya uhuru wake. Mwaka huu inaadhimisha uhuru huo ikiwa ni miaka 245 tangu iupate kutoka kwa Himaya ya Uingereza mwaka 1776.  Uhuru huo ulipatikana baada…

Mchango wa sheria katika uchumi wa kati

KATAVI Na Daniel Kimario Mwaka 2020 Tanzania iliingia katika uchumi wa kati. Uwanda huu unatafsiriwa na wataalamu mbalimbali, Benki ya Dunia na vyombo vyake kuwa ni uwanda wa mataifa ambayo uchumi wake unawezesha pato la mtu mmoja mmoja kuwa kati…

Siku bora katika Uislamu

Leo siku ya Jumanne tarehe 13 Julai, mwaka 2021, ni miongoni mwa siku kumi bora za Mwezi wa Dhil Hijja (Mfungo Tatu) Mwaka wa Kiislamu 1442 Hijiriyyah (toka Mtume Muhammad –Allaah Amrehemu na Ampe Amani – alipohajiri kutoka Makkah kwenda…

Uchambuzi wa Bajeti Kuu kwa jicho la uwajibikaji 

DAR ES SALAAM Na Ludovick Utouh UTANGULIZI:  Juni 10, 2021, Waziri wa Fedha na Mipango Dk.  Mwigulu Nchemba, aliwasilisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.  Hii ni Bajeti ya kwanza chini ya Mpango wa…

Gesi Mtwara na mguso kwa jamii ya Lindi

Na Christopher Lilai, Lindi Lindi ni miongoni mwa mikoa ambayo bomba kubwa la gesi asilia itokayo mkoani Mtwara limepita kuelekea Kinyerezi jijini Dar es Salaam.  Kwa kiasi kikubwa gesi hiyo inatumika kufua umeme wa viwandani na majumbani kwa kiasi kidogo….