JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mchango wa sheria katika uchumi wa kati

KATAVI Na Daniel Kimario Mwaka 2020 Tanzania iliingia katika uchumi wa kati. Uwanda huu unatafsiriwa na wataalamu mbalimbali, Benki ya Dunia na vyombo vyake kuwa ni uwanda wa mataifa ambayo uchumi wake unawezesha pato la mtu mmoja mmoja kuwa kati…

Siku bora katika Uislamu

Leo siku ya Jumanne tarehe 13 Julai, mwaka 2021, ni miongoni mwa siku kumi bora za Mwezi wa Dhil Hijja (Mfungo Tatu) Mwaka wa Kiislamu 1442 Hijiriyyah (toka Mtume Muhammad –Allaah Amrehemu na Ampe Amani – alipohajiri kutoka Makkah kwenda…

Uchambuzi wa Bajeti Kuu kwa jicho la uwajibikaji 

DAR ES SALAAM Na Ludovick Utouh UTANGULIZI:  Juni 10, 2021, Waziri wa Fedha na Mipango Dk.  Mwigulu Nchemba, aliwasilisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.  Hii ni Bajeti ya kwanza chini ya Mpango wa…

Gesi Mtwara na mguso kwa jamii ya Lindi

Na Christopher Lilai, Lindi Lindi ni miongoni mwa mikoa ambayo bomba kubwa la gesi asilia itokayo mkoani Mtwara limepita kuelekea Kinyerezi jijini Dar es Salaam.  Kwa kiasi kikubwa gesi hiyo inatumika kufua umeme wa viwandani na majumbani kwa kiasi kidogo….

Pumzika Kaunda, mkombozi wa kweli

DAR ES SALAAM Na Zitto Kabwe Miaka 10 iliyopita nikiwa nimekaa kwenye jukwaa la wageni waalikwa katika sherehe za uhuru wa Sudan Kusini, nilimwona mzee mmoja akitembea taratibu akiwa amepinda mgongo na kitambaa cheupe mkononi. Alikuwa akitembea uwanjani kuelekea jukwaani…

ASKARI MAGEREZA: ‘Wafungwa huru’ wanaoifia nchi 

DODOMA Na Javius Byarushengo  Ukikutana nao mitaani au kwenye usafiri wa daladala wakiwa wamevaa magwanda yao yenye rangi ya ugoro, unaweza ukahisi ni watu wenye majukumu laini kama ambayo wakati mwingine hayahitaji kuumiza kichwa, lakini watembelee katika maeneo yao ya…