Category: Makala
Hadhari bidhaa za Kariakoo
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Moto uliozuka na kuteketeza sehemu kubwa ya Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam huenda ukasababisha athari kadhaa za kiafya kwa Watanzania. Moto huo uliozuka usiku wa Julai 9, mwaka huu, mbali na kuathiri…
Tunaufungaje mjadala wa Mtaka vs Prof. Ndalichako?
Na Joe Beda Rupia Elimu elimu elimu. Ndiyo. Elimu. Inatajwa kuwa ufunguo wa maisha. Lakini kikubwa zaidi elimu ndiyo silaha dhidi ya ujinga. Ujinga. Moja miongoni mwa mambo matatu yanayotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kama maadui wakuu…
Kulikoni bei ya pombe ishuke?
DAR ES SALAAM Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote, ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani tuliyonayo nchini. Hakika Mungu ni mwema. Neno la Mungu linatutahadharisha tuwe makini (Luka 21: 34(a): “Basi jihadharini mioyoni mwenu isije ikalegea na ulafi, na ulevi…
WADUNGUAJI HATARI KUMI DUNIANI
Rob Furlong (7) Anayeshikilia namba saba katika orodha ya wadunguaji kumi hatari duniani ni Rob Furlong. Huyu alikuwa ni koplo katika jeshi la Canada. Anashikilia kuwa mdunguaji aliyeweza kumlenga mtu na kumpiga katika umbali mrefu kuliko wadunguaji wengi. Rekodi zake…
Profesa Mkenda tanzua hili umkomboe mkulima
Na Theonestina Kaiza-Boshe Kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa ikiimba wimbo kuwa ‘kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa’. Na kwa nyakati mbalimbali serikali imetengeneza sera na kaulimbiu mbalimbali kuchochea dhana hiyo ili kuboresha matokeo. Kuna wakati serikali…
JEHAN SADAT… Mama aliyeleta amani kati ya Misri, Israel
CAIRO, Misri Jehan, mjane wa Rais wa zamani wa Misri, Anwar Sadat, amefariki dunia nchini Misri akiwa na umri wa miaka 87. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la habari la taifa, MENA, Jehan Sadat amefariki dunia Ijumaa ya…