JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kulikoni bei ya pombe ishuke?

DAR ES SALAAM Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote, ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani tuliyonayo nchini. Hakika Mungu ni mwema.  Neno la Mungu linatutahadharisha tuwe makini (Luka 21: 34(a): “Basi jihadharini mioyoni mwenu isije ikalegea na ulafi, na ulevi…

WADUNGUAJI HATARI KUMI DUNIANI

Rob Furlong (7) Anayeshikilia namba saba katika orodha ya wadunguaji kumi hatari duniani ni Rob Furlong. Huyu alikuwa ni koplo katika jeshi la Canada. Anashikilia kuwa mdunguaji aliyeweza kumlenga mtu na kumpiga katika umbali mrefu kuliko wadunguaji wengi. Rekodi zake…

Profesa Mkenda tanzua  hili umkomboe mkulima

Na Theonestina Kaiza-Boshe Kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa ikiimba wimbo kuwa ‘kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa’.  Na kwa nyakati mbalimbali serikali imetengeneza sera na kaulimbiu mbalimbali kuchochea dhana hiyo ili kuboresha matokeo. Kuna wakati serikali…

JEHAN SADAT… Mama aliyeleta amani kati ya Misri, Israel

CAIRO, Misri Jehan, mjane wa Rais wa zamani wa Misri, Anwar Sadat, amefariki dunia nchini Misri akiwa na umri wa miaka 87. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la habari la taifa, MENA, Jehan Sadat amefariki dunia Ijumaa ya…

Yah: Nyuma ya pazia ni vilio tupu, lakini tuna furaha

Naomba niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ninyi muitikie kwa sauti kubwa: “Kazi iendelee” huku mkijipiga vifua mara tatu.  Tangu wiki jana naugulia maumivu ambayo ninadhani nikishayazoea nitaanza kushangilia badala ya kububujikwa machozi. Leo ni wiki…

KUFUTWA NANENANE 2021… Fursa ya kurejea misingi ya kuasisiwa kwake

ARUSHA Na Thomas Laiser  Februari 10, 2021, Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, alitangaza kufutwa maonyesho ya kilimo, maarufu kama Nanenane, ambayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka. Lengo la maonyesho hayo ni kutoa fursa kwa wakulima kujifunza mbinu za uzalishaji, kuwakutanisha…