Category: Makala
Familia ithamini mafunzo na maadili ya dini
Pamoja na migongano ya wataalamu wa lugha juu ya fasili ya neno familia, kiujumla familia ni kundi la watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto. Kikundi hiki mara nyingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili katika uzazi wa pamoja. Familia zinatofautiana…
Maisha ni mapambano hadi kifo
Na Joe Beda Rupia Gesi ya kupikia imepanda bei. Hili unaweza kudhani ni suala dogo tu. Lakini kwa hakika lina ukubwa wake na limenifikirisha sana. Sisi ambao wazazi wetu ni wazee na sasa wanaishi peke yao vijijini, tukaamua kuwapunguzia ‘msalaba’…
Chanjo ya corona yaitikisa Afrika
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mataifa mbalimbali duniani yamo kwenye vita kali dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona tangu kugundulika kwa ugonjwa huo wa homa kali ya mapafu katika Jiji la Wuhan, China, Desemba…
Zabikha lawamani ada darasa la saba
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Baadhi ya wazazi wenye watoto wa darasa la saba katika shule binafsi kadhaa wamelalamika kulipishwa ada kinyume cha mapatano. Wazazi wanalalamika kutozwa ada kubwa huku wakilazimishwa kumaliza malipo sawa na ya mwaka mzima kwa…
Yah: Chakula cha jioni kilicholiwa kwa kuzunguka sinia, ungo
Kwanza niwatakie habari njema waungwana wa uga huu wa ‘Waraka wa Mzee Zuzu’ mnaonijulia hali kila iitwapo leo, lakini pia wale wote mnaoguswa na kile ninachokiandika. Si lazima kila mtu anielewe kwa sababu ninaamini msomaji wa waraka huu lazima awe…
Lugha ni msingi wa umoja
Umoja ni tabia ya kuungana ili kutekeleza shughuli fulani katika kundi kwa pamoja. Tabia hii ni ya binadamu, na baadhi ya wanyama na wadudu. Lengo la kuungana au kuwa na umoja ni kujipatia nguvu zaidi na uwezo zaidi katika kutenda…