Category: Makala
Yah: Chakula cha jioni kilicholiwa kwa kuzunguka sinia, ungo
Kwanza niwatakie habari njema waungwana wa uga huu wa ‘Waraka wa Mzee Zuzu’ mnaonijulia hali kila iitwapo leo, lakini pia wale wote mnaoguswa na kile ninachokiandika. Si lazima kila mtu anielewe kwa sababu ninaamini msomaji wa waraka huu lazima awe…
Lugha ni msingi wa umoja
Umoja ni tabia ya kuungana ili kutekeleza shughuli fulani katika kundi kwa pamoja. Tabia hii ni ya binadamu, na baadhi ya wanyama na wadudu. Lengo la kuungana au kuwa na umoja ni kujipatia nguvu zaidi na uwezo zaidi katika kutenda…
Mnyeti kama Sabaya
*Alalamikiwa Tume ya Haki za Binadamu *Adaiwa kujiundia tume kinyume cha sheria *Mwenyewe ajitetea kwa kumwaga matusi DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, analalamikiwa na mfanyabiashara, Dk. Hamis Kibola, katika Tume ya…
Amchinja mkewe baada ya kukataliwa
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mgongano wa kimasilahi na kufilisika kwa mume ni miongoni mwa sababu zinazodaiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Vigoa, Chamazi, Mwajabu Bakari. Mwajabu amefariki dunia kwa kuchinjwa na aliyekuwa mume wake, Naibu Ramadhani. Akizungumza na…
‘ROMARIO’ Mwanamuziki mwenye vituko jukwaani
TABORA Na Moshy Kiyungi Unapoingia ukumbini kusakata muziki wa bendi ya Msondo Ngoma Classic, hakika utalazimika kushikilia mbavu zako utakaposhuhudia vituko, mbwembwe na vimbwanga vya mpuliza tarumbeta, Roman Mng’ande ‘Romario’. Takriban kila onyesho la bendi hiyo yeye hufanya utundu wa…
Usakatonge ulivyopora suala la Katiba mpya
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Ukweli unaojitetea ni kwamba kila Mtanzania mwenye ufahamu wa masuala ya kisiasa na uongozi anahitaji marekebisho ya Katiba yetu. Awe serikalini, awe upinzani au asiye na ufuasi wa chama. Awe Mkristo, Muislamu au asiyeamini…