JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Chanjo ya corona yagombewa

*Dar es Salaam, Moshi, Arusha waomba upendeleo *Waongoza watalii waomba ruhusa kuagiza chanjo  *Wananchi waweka kando propaganda na kuamua ‘maisha kwanza’ Na Waandishi Wetu Maelfu ya wananchi wamejitokeza kupata chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, COVID-19, unaosababishwa na…

Maswali, majibu kuhusu chanjo ya corona 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) iliyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu aina mbalimbali za chanjo za Covid – 19 (corona). …

JOSEPHINE ‘JOLLY BEBE’ Maadili ya Kiafrika lazima yatunzwe

TABORA Na Moshy Kiyungi Unenguaji ni chachu na kivutio katika muziki wa dansi na hata muziki wa Injili. Huenda mwaka 1973 ndiyo ilikuwa mara ya kwanza Tanzania kushuhudia umahiri wa unenguaji jukwaani. Wakati huo TP OK Jazz ya DRC chini…

Mahabusu alalamika kwa DPP kubambikiwa dawa za kulevya

Ndugu mhariri, mimi mahabusu Said Mbaraka, ninaomba kufikisha malalamiko yangu ya kubambikiwa kesi ya kukutwa na gramu 41 za dawa za kulevya aina ya Heroin kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Sylvester Mwakitalu. Kesi hiyo (EC. No 07/202) iliyopo Mahakama ya…

Fitina za siasa zinavyoitafuna Afrika Kusini

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samsom Simbi Kufikia mwaka 1960 baadhi ya nchi za Afrika zilikuwa zimepata uhuru na kuanza kujitawala zikiwa na jukumu kubwa la kutoa mchango wa hali na mali katika ukombozi wa Bara zima la Afrika. Pamoja…

Katiba 2025 itamke kama ni Ujamaa au la!

BAGAMOYO Na Marie binti Shaba Katika hotuba yake kwa taifa kupitia wanawake, Rais Samia Suluhu Hassan, aligusia mambo yaliyojaa busara. Binafsi niliguswa na mbinu aliyoitumia kuelezea kwamba binadamu wote tuna nguvu sawa mithili ya pande mbili za sarafu moja.  Samia…