Category: Makala
Fitina za siasa zinavyoitafuna Afrika Kusini
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samsom Simbi Kufikia mwaka 1960 baadhi ya nchi za Afrika zilikuwa zimepata uhuru na kuanza kujitawala zikiwa na jukumu kubwa la kutoa mchango wa hali na mali katika ukombozi wa Bara zima la Afrika. Pamoja…
Katiba 2025 itamke kama ni Ujamaa au la!
BAGAMOYO Na Marie binti Shaba Katika hotuba yake kwa taifa kupitia wanawake, Rais Samia Suluhu Hassan, aligusia mambo yaliyojaa busara. Binafsi niliguswa na mbinu aliyoitumia kuelezea kwamba binadamu wote tuna nguvu sawa mithili ya pande mbili za sarafu moja. Samia…
Rwanda yawachapa waasi Msumbiji
MAPUTO, Msumbiji Bataliani ya jeshi la Rwanda inaripotiwa kutinga kaskazini mwa Msumbiji na kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya kikundi cha kigaidi kinachoua hovyo raia. Ndani ya wiki mbili tu, kikosi hicho cha kwanza kutoka nje ya nchi kupelekwa kupambana na…
Tunatia aibu, tunapuuzwa
Wiki iliyopita alifariki dunia mmoja wa watu niliowapenda na kuwaheshimu mno. Utendaji kazi wake uliniaminisha kuwa pengine hakuna haja ya kuwa na mfumo huu wa sasa wa Serikali za Mitaa katika miji, manispaa na majiji. Charles Keenja, alifanya kazi kubwa…
Maendeleo yetu na kasi ya teknolojia
Maendeleo ya mtu au watu (jamii ) yanahitaji masharti mawili – JUHUDI na MAARIFA, ambayo msingi wake mkubwa ni mtu (mwananchi) na uwezo wake. Katika utaratibu huu ili mwananchi aendelee atahitaji vitu vinne ambavyo ni Ardhi, Watu, Siasa safi na…
Yah: Hatujawahi kuwa siriasi kwa mambo ya msingi
Kama lingekuwa ni genge halafu lipo mahali fulani mbali huko tungesema kuna ‘chuma ulete’ katika vichwa vyetu, yaani leo tunalala na hili ambalo halijaisha na kesho tunaamka na jambo jipya ambalo limebuniwa kututoa katika reli ya mambo ya jana, sisi…