Category: Makala
Viongozi wa dini tujijengee mamlaka ya kimaadili
Mamlaka ya kimaadili ni ile hali ya mtu kuwa na tabia njema inayoifanya jamii kumheshimu, kumuamini na hata kuyapa thamani maneno na ushauri wake na kufanywa kuwa chanzo cha mwongozo au mfano wa mwenendo sahihi kwa wanajamii. Huyu ni mtu…
HAKAINDE HICHILEMA (HH) Rais mpya wa Zambia aliyeshindwa mara tano
LUSAKA, ZAMBIA Na Kennedy Gondwe, BBC Baada ya kushindwa mara tano mfululizo katika Uchaguzi Mkuu wa Zambia, hatimaye bahati imemuangukia Hakainde Hichilema, na sasa amefanikiwa kuwa Rais wa taifa hilo. Hichilema amemwangusha mpinzani wake mkuu, aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar…
Uislamu unahimiza kufanya kazi, unapinga ukupe
Anuani ya makala yetu leo inatudai fasili ya maneno mawili ya Kiswahili: Kazi na Ukupe. Kazi kwa fasili inayozingatia sheria ni “shughuli yoyote halali inayompatia mtu kipato au masilahi fulani halali yaliyokubaliwa,” wakati kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu…
Mbowe, chanjo na hujuma CCM
Na Deodatus Balile Mpendwa msomaji salamu. Sitanii, tangu nimepata pigo la kuondokewa na Mkurugenzi mwenzetu, Mkinga Mkinga, Juni 24, 2021, sijaandika katika safu hii. Itanichukua muda kuamini kuwa kweli Mkinga amefariki dunia, ila nalazimika kuukubali ukweli kwamba sisi tu waja…
Uamsho na majeraha ya sheria ya ugaidi
ZANZIBAR Na Masoud Msellem Karibu miezi miwili imepita sasa tangu kuachiwa huru kwa waliokuwa mahabusu; masheikh wa Jumuiya ya Uamsho Tanzania. Hawa waliswekwa kizuizini kwa zaidi ya miaka saba wakituhumiwa kutenda vitendo vya kigaidi kati ya Januari 2013 na Juni…
Hata kama hauna cheti cha ndoa unaweza kufumania
Na BashirYakub Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, kwamba mtu asiyekuwa na cheti cha ndoa hawezi kufumania, si sahihi. Usahihi ni kwamba mtu yeyote mwenye ndoa halali anaweza kufumania! Na hiyo inayoitwa ndoa halali…