JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ukakasi trafiki kuuliza kabila

Mwaka 2013 nikiwa Geita nilibanwa tumbo; hali iliyonifanya niende katika zahanati ya madhehebu ya dini iliyokuwa jirani. Nilipokewa na kutakiwa nitoe maelezo ya jina, umri, ninakoishi na dini. Hii haikuwa mara ya kwanza kuulizwa swali hilo katika zahanati na hospitali,…

Wizara ya Afya ipate uongozi mpya

Albert Einstein, mmoja wa binadamu wenye akili za kiwango cha juu katika karne ya 20, alipata kusema: “We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them.” [Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kutumia mawazo yale yale tuliyotumia…

Mbunge aandaa jimbo lake kujitenga

MWANZA Na Antony Sollo Mbunge wa Jimbo la Sengerama mkoani hapa, Khamis Tabasamu, anawaunganisha wananchi, husasan wakulima wa pamba wa jimbo hilo kujiondoa kutoka Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU). Hali hiyo inakuja kama maono ya Tabasama kuwa hiyo…

Kila mwananchi awe askari wa taifa letu

DODOMA Na Javius Byarushengo Ule usemi usemao ya kale ni dhahabu si wa kupuuza hata kidogo. Ulikuwa na maana, unaendelea kuwa na maana na utaendelea kuwa na maana. Katika miaka ya nyuma, hususan katika Awamu ya Kwanza ya uongozi wa…

Kumbukeni hata Mwalimu Nyerere alikuwa mpinzani

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inatambua uhalali wa vyama vingi vya siasa. Inasema, Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.  Kumekuwapo matukio ya Jeshi…


Dk. Mwinyi aleta mapinduzi katika uwekezaji

ZANZIBAR Na Rajab Mkasaba Tangu kuanza kazi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ya Awamu ya Nane Novemba 2020 hadi Julai 2021, Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imefanikiwa kukusanya miradi 50 yenye jumla ya mitaji ya dola za Marekani…