Category: Makala
Idadi ya viboko yazua balaa
KATAVI Na Walter Mguluchuma Kila msiba una mwenyewe. Msemo wa wahenga unaolenga kuweka msisitizo katika umiliki wa suala lolote lile; liwe baya au zuri. Kupuuza msemo huu na mingine kadhaa iliyobeba ujumbe mzito ni kujitakia balaa na aghalabu, ni kujicheleweshea…
Benki zaagizwa kuboresha huduma kwa akina mama
DODOMA Na Costantine Muganyizi Serikali imezipongeza benki zenye utaratibu maalumu wa kuwahudumia wanawake nchini ikisema kufanya hivyo si tu kunawapa ahueni ya maisha akina mama nchini, bali pia una tija na mchango mkubwa katika ujenzi wa taifa. Pia utaratibu huo…
Tusherehekee haki ya kupata taarifa kwa vitendo
Na Deodatus Balile Leo ni siku ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki ya Kupata Taarifa au wengine wanasema ni ‘Siku ya Haki ya Kujua’ kama inavyojulikana kwa wadau wengi duniani. Siku hii ilitambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa…
Ugonjwa wa shinikizo la macho unaweza kusababisha upofu bila kuonyesha dalili
MBEYA NA MWANDISHI WETU Kutokana na ukosefu wa utaratibu wa watu kumuona daktari ili kuchunguzwa na kufanyiwa vipimo mapema (check-up), watu wengi hujikuta wakishindwa kugundulika matatizo yao mapema na kujikuta wakifika hospitalini katika hatua mbaya na za mwisho. Ili kuthibitisha…
Maelfu kunufaika na uboreshaji Mto Songwe
KYELA NA MWANDISHI WETU Bonde la Mto Songwe kijiografia lipo kusini magharibi mwa Tanzania na kaskazini mwa nchi ya Malawi, likiwa na ukubwa wa kilometa za mraba 4,243. Bonde hili linajumuisha wilaya saba; kati ya hizo wilaya tano za Kyela,…
Mkurugenzi Mtendaji MOI aikomboa Nyangao
Lindi Na Aziza Nangwa Uongozi wa Hospitali ya St. Walburg’s Nyangao mkoani Lindi umeamua kupeleka huduma za kibingwa za upasuaji wa mifupa baada ya kuona kuna changamoto kubwa ya huduma hiyo kutokana na ajali za pikipiki na mamba, JAMHURI limeambiwa….