JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Maelfu kunufaika na uboreshaji Mto Songwe

KYELA NA MWANDISHI WETU Bonde la Mto Songwe kijiografia lipo kusini magharibi mwa Tanzania na kaskazini mwa nchi ya Malawi, likiwa na ukubwa wa kilometa za mraba 4,243. Bonde hili linajumuisha wilaya saba; kati ya hizo wilaya tano za Kyela,…

Mkurugenzi Mtendaji MOI aikomboa Nyangao

Lindi Na Aziza Nangwa Uongozi wa Hospitali ya St. Walburg’s Nyangao mkoani Lindi umeamua kupeleka huduma za kibingwa za upasuaji wa mifupa baada ya kuona kuna changamoto kubwa ya huduma hiyo kutokana na ajali za pikipiki na mamba, JAMHURI limeambiwa….

Lupaso baada ya Mzee Mkapa

Mwaka 2004 tukiwa katika ziara ya Waziri wa Maji na Mifugo, Edward Lowassa, tulizuru kwa mara ya kwanza Kijiji cha Lupaso kilichopo Masasi mkoani Mtwara. Lupaso ndipo alipozaliwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa. Umaarufu wa Lupaso hautofautiani…

Amwokoa mwanaye mdomoni mwa fisi

KARATU Na Bryceson Mathias Mkazi wa Kijiji cha Bassodowish kilichopo Karatu, Arusha, Paskalina Ibrahimu (36), amefanikiwa kupambana na fisi na hatimaye kumnusuru mwanaye kuuawa. Hata hivyo, pamoja na mapambano hayo, fisi alifanikiwa kunyofoa pua ya mwanaye huyo, Daniel Paskali, mwenye…

‘Chanjo ya UVIKO-19 ishara ya upendo kwa jirani’

Na Waandishi Wetu Nia ya uchambuzi huu ni kutoa ushauri kwa watu, hususan Wakristo, katika suala la kujikinga na Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19).  Tunajua ugonjwa huu ni hatari na umeua watu wengi duniani kwa kipindi kifupi. Ni janga…

Waziri Ndumbaro asikubali kutishwa

Maandiko Matakatifu ya dini zote yameeleza bayana jinsi Mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu na viumbe hai. Yaliyoandikwa katika vitabu hivyo ni ya manufaa kwa wanaoamini, pia kwao wasioamini uwepo wa Mungu. Tunasoma katika Qur’aan Tukufu, Sura ya 55 (Surat Ar-Rahmaan), Aya…