Category: Makala
Mapinduzi ya kijeshi, ulafi wa madaraka Afrika
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Baada ya kutawaliwa kwa miaka zaidi ya 70, hatimaye nchi za Afrika zilianza kujitawala na kuunda jumuiya mbalimbali chini ya jumuiya mama, OAU na baadaye AU zenye madhumuni ya kulinda amani, umoja na…
Vijana wanaweza, urais si kwa wazee pekee
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Desturi za maisha ya jamii zinabadilika kila siku kutokana na mageuzi mbalimbali ya vitu na mazingira. Mabadiliko haya yanayochochewa na vitu vya asili na hata matendo ya binadamu huchochea pia mabadiliko katika tabia na…
Taratibu tunarejea tulikokuwa kabla
Mmoja wa wasomaji kindakindaki wa JAMHURI amenipigia simu na kuukosoa msimamo wangu kuhusu wachuuzi (wamachinga), akisema ninavyopendekeza watengewe maeneo maalumu, maana yake ninataka tatizo hilo liendelee kukua. Kwa mtazamo wake, uwepo wa wamachinga wengi kiasi kinachoonekana sasa katika miji na…
Hoja ya Afrika moja iliishia wapi?
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Afrika ina historia ndefu inayohusishwa na maisha magumu kutokana na ukosefu wa siasa safi, ajira na matumizi mabaya ya rasilimali zilizopo. Maisha ya Mwafrika kijamii, kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi ndiyo yanayoonekana duni kuliko maeneo…
Wataka uwazi mikataba ya uziduaji
DODOMA Na Mwandishi Wetu Asasi za kiraia nchini (AZAKI) zimependekeza suala la uwazi wa mikataba ya sekta ya uziduaji kuwa mojawapo ya vipaumbele vya serikali wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Tatu unaotekelezwa sasa. Pendekezo hilo…
Kusaka kupendwa kumeiumiza nchi
Jiji la Dar es Salaam, na bila shaka majiji na miji mingine, hali ya ustaarabu mitaani imerejea. Mitaa inapitika na thamani kwa waenda kwa miguu imerejeshwa. Bahati nzuri Watanzania wengi ni waelewa. Wapo waliodhani mpango wa kuwaondoa wamachinga katika maeneo…