JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Atatoka wapi Mzee Mayega mwingine?

DAR ES SALAAM Na Abdul Saiwaad Katikati ya miaka ya 1980, sikumbuki ilikuwa mwaka gani hasa, nilipofahamishwa kwa Paschally Boniface Mayega. Rafiki yangu aitwaye Kamugisha ndiye aliyenitambulisha.  Tulikutana Posta Mpya ambapo Mayega alikuwa akifanya kazi Idara ya Mauzo ya Simu….

MWAKA MMOJA IKULU Dk. Mwinyi anavyokataa kufukua makaburi 

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Alhamisi Oktoba 29, 2020, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ilimtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Zanzibar, kwa ushindi wa asilimia 76.27 ya kura zilizopigwa. Akizungumza baada ya…

‘Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu’ 

DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.  Pongezi…

Fahamu magumu aliyopitia Jaji Bwana

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Je, unamjua mwanasheria wa kimataifa aliyepiga hatua tangu kuwa hakimu mkazi mwaka 1975 hadi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania na Shelisheli, na haikutosha akateuliwa tena na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa…

Mawili niliyoyaona safarini Iringa

Hivi karibuni nilisafiri kati ya Dar es Salaam na Iringa. Njiani niliona mengi ya kuvutia, na mengine ya kuhuzunisha pia. Kilometa chache kutoka Mikumi kama unakwenda Iringa kuna wananchi wanaoishi maisha duni. Kuna biashara ndogo za mapapai na miwa. Biashara…

KUMBUKIZI YA SEIF SHARIF HAMAD Yakumbukeni mema ya wafu wenu!

Siku ya Ijumaa Novemba 5, mwaka huu 2021, katika Hoteli ya Golden Tulip, Kiembe Samaki, Zanzibar, kulifanyika kumbukizi ya maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, marehemu Maalim Seif Sharif Hamad (Allaah Mtukufu Amrehemu) na kuzindua taasisi…