Category: Makala
Mawili niliyoyaona safarini Iringa
Hivi karibuni nilisafiri kati ya Dar es Salaam na Iringa. Njiani niliona mengi ya kuvutia, na mengine ya kuhuzunisha pia. Kilometa chache kutoka Mikumi kama unakwenda Iringa kuna wananchi wanaoishi maisha duni. Kuna biashara ndogo za mapapai na miwa. Biashara…
KUMBUKIZI YA SEIF SHARIF HAMAD Yakumbukeni mema ya wafu wenu!
Siku ya Ijumaa Novemba 5, mwaka huu 2021, katika Hoteli ya Golden Tulip, Kiembe Samaki, Zanzibar, kulifanyika kumbukizi ya maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, marehemu Maalim Seif Sharif Hamad (Allaah Mtukufu Amrehemu) na kuzindua taasisi…
Biashara Tanzania, India yadorora
KIBAHA Na Costantine Muganyizi Baada ya kuimarika na kufikia wastani wa zaidi ya dola za Marekani bilioni 2.5 mwanzoni mwa muongo huu, kiasi cha biashara kati ya Tanzania na India kimeshuka sana miaka ya hivi karibuni. Kiasi hicho cha thamani…
‘TASAF ni malaika aliyetumwa na Mungu’
MLELE Na Walter Mguluchuma Ruzuku inayotolewa na serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imewawezesha wanakaya maskini katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi kujikwamua kimaisha kwa kuanzisha shughuli za kiuchumi. Kwa miaka saba sasa TASAF imekuwa mstari…
Mapinduzi ya kijeshi, ulafi wa madaraka Afrika
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Baada ya kutawaliwa kwa miaka zaidi ya 70, hatimaye nchi za Afrika zilianza kujitawala na kuunda jumuiya mbalimbali chini ya jumuiya mama, OAU na baadaye AU zenye madhumuni ya kulinda amani, umoja na…
Vijana wanaweza, urais si kwa wazee pekee
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Desturi za maisha ya jamii zinabadilika kila siku kutokana na mageuzi mbalimbali ya vitu na mazingira. Mabadiliko haya yanayochochewa na vitu vya asili na hata matendo ya binadamu huchochea pia mabadiliko katika tabia na…