Category: Makala
Huyu Bernard Membe vipi?
DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Kwa mfululizo, matoleo mawili ya Gazeti pendwa la JAMHURI, Bernard Membe, amekuwa akiwaelezea Watanzania chuki yake dhidi ya Serikali ya Awamu ya Tano na CCM kwa kipindi hicho. Swali langu ni je, hivi…
Nini hatima ya mishahara hii minono?
DODOMA Na Javius Byarushengo Miongoni mwa nadharia zinazohusiana na chanzo cha uhalifu katika jamii ni ‘nadharia ya migogoro’ (conflict theory). Nadharia hii inaeleza kuwa tabia potofu ni matokeo ya kutokuwapo usawa wa kiuchumi na kisiasa katika jamii. Wananadharia wanasema migogoro…
Atatoka wapi Mzee Mayega mwingine?
DAR ES SALAAM Na Abdul Saiwaad Katikati ya miaka ya 1980, sikumbuki ilikuwa mwaka gani hasa, nilipofahamishwa kwa Paschally Boniface Mayega. Rafiki yangu aitwaye Kamugisha ndiye aliyenitambulisha. Tulikutana Posta Mpya ambapo Mayega alikuwa akifanya kazi Idara ya Mauzo ya Simu….
MWAKA MMOJA IKULU Dk. Mwinyi anavyokataa kufukua makaburi
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Alhamisi Oktoba 29, 2020, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ilimtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Zanzibar, kwa ushindi wa asilimia 76.27 ya kura zilizopigwa. Akizungumza baada ya…
‘Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu’
DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Pongezi…
Fahamu magumu aliyopitia Jaji Bwana
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Je, unamjua mwanasheria wa kimataifa aliyepiga hatua tangu kuwa hakimu mkazi mwaka 1975 hadi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania na Shelisheli, na haikutosha akateuliwa tena na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa…