Category: Makala
Lipi kosa la huyu Mchina?
Tatizo letu wabongo (Watanzania) wengi tunadhani mvua inatoka juu mbinguni mawinguni kwa Mungu…hatujiulizi kwanini mvua hainyeshi jangwani au huko hakuna anga au Mungu hayupo? Maneno haya yaliwekwa na mwenzetu kwenye kundi letu la WhatsApp. Niliyapenda kwa sababu yanatafakarisha. Ni mafupi, mepesi…
Sauli, New Force wanachezea sharubu za Sirro
Dar es Salaam Na Joe Beda Rupia Simba ni mmoja wa wanyama wakali sana. Si sahihi hata kidogo na ni hatari sana kumchezea au kumfanyia masihara mnyama huyu mla nyama. ‘Kuchezea sharubu za simba’ ni hatari. Au tuseme haiwezekani kabisa!…
Deni la taifa, mgawo wa maji, umeme
Na Deodatus Balile, Bukoba Mwezi mmoja uliopita niliandika makala iliyoamsha hisia katika viunga vingi vya nchi hii. Nilizungumzia ukuaji wa deni la taifa. Nilitumia takwimu za Benki Kuu kukokotoa ukuaji wa deni na kuonyesha kuwa limefikia Sh trilioni 78 sasa. …
Kukatika umeme ni hujuma?
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Ni ukweli usiopingika kwamba kumekuwa na tatizo la mgawo wa umeme katika maeneo mbalimbali yaliyo katika Gridi ya Taifa katika siku za karibuni. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),…
Mabadiliko tabianchi, hatima ya kilimo chetu
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Tanzania inajulikana kuwa ni nchi ya wakulima na wafanyakazi. Alama katika bendera ya TANU na baadaye CCM ni jembe na nyundo. Alama ya jembe inawakilisha wakulima na nyundo inawakilisha kundi la wafanyakazi katika…
Mfumo wa uchumi, dhana ya kukosekana kwa ajira
KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Kumekuwa na mjadala kuhusu tatizo la ajira hapa nchini. Ni mjadala wenye sura nyingi namna unavyojadiliwa. Taarifa ya Uchumi ya Mwaka 2018 inasema kila mwaka wahitimu wanaomaliza elimu ya chuo kikuu ni zaidi ya laki nane…