Category: Makala
Gandhi: Woga ni hatari
“Hakuna jambo baya linalomharibu binadamu kama woga, na yeyote anayemwamini Mungu anapaswa kujisikia aibu kwa kupata woga juu ya chochote [katika dunia hii].”
Haya ni maneno ya mpigania Uhuru wa India, Mahatma Gandhi aliyoyatoa wakati akiwahamasisha Wahindi kujenga mshikamano.
***
Tuwafundishe wasomi wetu kujiajiri
Miezi ya karibuni kule nchini Marekani askari walipambana na waandamanaji waliokuwa wakilalamika kuongezeka kwa pengo kati ya wenye nacho na wasio nacho.
Mara kadhaa waandamanaji hao wamejaribu kuandamana kupitia njia mbalimbali, ikiwamo ile ya kukutana kwenye daraja la Mto Mississipi lakini mara zote wameambulia kufurumushwa na polisi.
Kashfa ya riba na vituko vya binti wa mkurugenzi
London ina upepo, ubaridi wa haja na mvua kwa siku mbili tatu hizi, lakini kuna wanaotokwa na jasho. Kihoro kimewashika wanene wachache, kwa sababu ya kashfa ya kupanga viwango vya riba za kukopeshana kwa benki za hapa.
Madaktari Bingwa Dar watoa masharti magumu
Hili ni tamko la madaktari bingwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hawa wanahusisha hospitali za umma za Muhimbili (MNH), MOI, Ocean Road na Hospitali za manispaa katika mkoa huo.
Tamko ya Bodi ya Wadhamini MNH
Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ilikutana tarehe 28 Juni 2012 kujadili na kutathmini hali ya utendaji na utoaji wa huduma hivi sasa katika hospitali.
Vituko vya Jeshi la Polisi
*Lakodi kina mama ili wawapekue watuhumiwa Kituo cha Polisi Mbuguni, Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kinalazimika kukodi wanawake wanaoishi jirani na kituo hicho ili kuwafanyia upekuzi watuhumiwa wanawake kabla ya kuwaweka mahabusu. Kukodiwa kwa kina mama majirani kunatokana na…