Category: Makala
Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022 (1)
Makala ya leo yenye anuani ‘Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022’ inaangazia suala lenye mitazamo miwili inayopingana katika jamii ya Kiislamu kutokana na kutofautiana rai za wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili. Mtazamo mmoja ni…
Soko la ajira jinamizi linalowatesa wahitimu
Madhumuni ya elimu ni kumkomboa mhitimu kifikra ili aweze kuyamudu na kuyatawala mazingira yanayomzunguka. Elimu pia inatoa nafasi kwa mhitimu wa ngazi fulani kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku. Elimu wakati wa ukoloni ilitolewa kwa matabaka makubwa ambayo…
Hivi kweli Polepole ni mwanaharakati?
DODOMA Na Javius Byarushengo Huwa sipendi kuandika maisha ya mtu binafsi, isipokuwa kama kuna ulazima na kwa masilahi ya taifa. Kwa miezi kadhaa sasa Mbunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole, kwa kutumia kipindi alichokianzisha mtandaoni cha ‘Shule ya Uongozi’, amekuwa akizungumzia…
Hali ya misitu baada ya miaka 60 ya Uhuru
Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na amani hadi kushuhudia taifa letu linaadhimisha miaka 60 tangu ‘Tanganyika’ ilipopata uhuru Desemba 9, 1961. Kadhalika, ifikapo Aprili 26, 2022 tutafikisha miaka…
Askofu Tutu aaga dunia
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Mshindi wa Tuzo ya Amani, mpigania uhuru maarufu na mpinzani wa ubaguzi wa rangi, Askofu Mkuu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika Kusini, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Tutu, ambaye kwa miongo kadhaa alishiriki kikamilifu…
Wakulima India walivyobatilisha sheria kandamizi
Na Nizar K Visram Maandamano na mgomo wa wakulima zaidi ya 100,000 nchini India hatimaye umemalizika baada ya serikali kukubaliana na madai yao. Wakulima hao walipiga kambi nje ya mji mkuu wa New Delhi, wakitaka serikali ibatilishe sheria tatu ambazo…