JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Uuzaji ardhi

 

 

“…Tukiruhusu ardhi iuzwe kama kanzu, katika muda mchache, kutakuwa na kundi dogo la Waafrika wakiwa na ardhi na walio wengi watakuwa watwana.”

Je, Mwalimu Nyerere aliunyonga ujasiriamali?

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kuanzisha mfumo wa kiuchumi wa Ujamaa na Kujitegemea, mara tu baada ya Tanganyika kujipatia uhuru wake.

Mwalimu Nyerere kuking’oa CCM madarakani?

Tunaojua historia ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere, hatusiti kutamka wazi kwamba Mwasisi huyo wa Taifa letu huenda akaking’oa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku si nyingi zijazo.

Nyerere: Vipimo vya utajiri

“Kupima utajiri wa taifa kwa kutumia vigezo vya pato la taifa ni kupima vitu, si ufanisi.”

Haya ni maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyatoa Januari 2, 1973 jijini Khartoum, Sudan katika mkutano wa kuimarisha pato la taifa kwa nchi za ukanda wa kusini mwa Jangwa la Sahara.

Afadahi ya ‘ngangai’ kuliko ‘magwanda’ haya (2)

Lema akashinda. Lakini kutokana mwenendo wa kampeni ulivyokuwa, makada wa CCM ambao hawakuridhika, wakafungua kesi Mahakama Kuu na Lema akapigwa chini. Kama kawaida, wafuasi wa Chadema wakiwamo wana harakati na baadhi ya wasomi, wakamsuta Jaji aliyetoa hukumu hiyo kwa madai kuwa ilifanyika kisiasa.

Wanafunzi masikini wanyimwa mikopo

Wakati vyuo vya elimu ya juu vimeanza mapokezi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wiki iliyopita, wanafunzi wengi hasa kutoka familia maskini bado wako nyumbani huku wakihofia kukosa masomo baada ya kukosa mikopo.