JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Spika ameondoka, hoja bado imebaki

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Baada ya hoja ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, au kama ilivyoitwa kauli aliyoitoa wakati anazungumza na Umoja wa Wagogo (Wanyasi) kuhusu mikopo na kwenda mbali kutaja deni lilivyokua kwamba tunadaiwa Sh trilioni 70 na…

Kujiuzulu Ndugai ni ukomavu wa fikra

DAR ES SALAAM Na Javius Kaijage Januari 6, mwaka huu ni siku ambayo Job Ndugai alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa Bunge, hivyo kuandika historia mpya katika kitabu cha Tanzania. Ni historia mpya kwa maana kwamba kumbukumbu zinaonyesha kuwa…

Tutu alikuwa mwanaharakati wa kimataifa

Na Nizar K Visram Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Cape Town (Afrika Kusini) alipofariki dunia Desemba 26, 2021 akiwa na umri wa miaka 90, ulimwengu ulimlilia.  Wengi wakakumbuka jinsi alivyokuwa mwanaharakati aliyepambana na ubaguzi wa rangi (ukaburu) nchini mwake. Wakakumbuka…

Amuomba msaada Rais  Samia kumuondoa  aliyevamia kiwanja chake

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, nakuomba unisaidie kupata haki yangu. Mimi naitwa Frida Kyesi, ni mama mjane wa Mzee Lutengano Mwakabuta ambaye alikuwa mstaafu. Kwa sasa naishi Pugu Kajiungeni, Ilala jijini Dar es Salaam tangu…

Nani anajali ‘mfumuko wa bei’  unapoumiza wasio na kipato?

MVOMERO Na Mwandishi Wetu Tochi ya watu wasio na sauti imemulika na kubaini mfumuko wa bei katika bidhaa mbalimbali nchini na kuhoji iwapo umeachwa uendelee kwa makusudi ili uwe faida kwa wenye nacho na kilio kwa wasio nacho?  Watu wanajiuliza…

BRAZA K… Msanii wa Futuhi mwenye vituko

TABORA Na Moshy Kiyungi Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa na waigizaji na wachekeshaji wenye vipaji tofauti vya kuvutia. Wazee wanawakumbuka watu kama Mzee Jongo, Bwana Kipara, Mzee Jangala, Bi. Hindu, Said Ngamba ‘Mzee Small’, Bi. Chau, Pwagu na Pwaguzi waliotamba…