JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mkakati wa kuondoa ‘Divisheni 0’ Arusha

Arusha Na Mwandishi Wetu Halmashauri ya Jiji la Arusha imedhamiria kuinua sekta ya elimu kwa kuboresha mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia ili kuondoa daraja sifuri kwa wanafunzi wa kidato cha pili na nne kwa kutenga kiasi cha fedha kutoka…

Baraza la Mawaziri 1963

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Umri wa mawaziri umekuwa gumzo kwa nyakati tofauti, wengi wakitamani kuona Baraza la Mawaziri likitawaliwa na vijana. Na hata wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipofanya mabadiliko mapema mwezi huu, hoja hiyo iliibuka tena. Ni…

Namna ya kuzungumza mtoto akusikilize, aongee

ARUSHA Na Dk. Pascal Kang’iria  Tangu zamani jamii duniani imekuwa ikipitia maisha ya kila namna – yenye uzuri na ubaya ndani yake. Vizazi kadhaa vimepita vikirithishana tamaduni mbalimbali. Sehemu kubwa ya kufanya utamaduni kuwa makini na wenye tija, ni kupitia…

Funga mwaka ya Rais Samia 

DAR ES SALAAM NA MWALIMU SAMSON SOMBI Machi 19, mwaka jana Samia Suluhu Hassan aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake, Rais Dk. John Magufuli, kilichotokea Machi 17, mwaka jana. Akizungumza katika hotuba yake fupi baada…

Spika ameondoka, hoja bado imebaki

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Baada ya hoja ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, au kama ilivyoitwa kauli aliyoitoa wakati anazungumza na Umoja wa Wagogo (Wanyasi) kuhusu mikopo na kwenda mbali kutaja deni lilivyokua kwamba tunadaiwa Sh trilioni 70 na…

Kujiuzulu Ndugai ni ukomavu wa fikra

DAR ES SALAAM Na Javius Kaijage Januari 6, mwaka huu ni siku ambayo Job Ndugai alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa Bunge, hivyo kuandika historia mpya katika kitabu cha Tanzania. Ni historia mpya kwa maana kwamba kumbukumbu zinaonyesha kuwa…