Category: Makala
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Kubaguana kutavunja Taifa
“Tabia hii ya kubaguana ambayo inafanana na ile ya Uzanzibari na Utanganyika, itavunja Taifa siku moja. Dhambi ya ubaguzi haiishi hata siku moja.”
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyasema haya kukemea ubaguzi wa kikabila, ukanda, udini na rangi nchini. Alizaliwa Arili 13, 1922, alifariki Oktoba 14, 1999.
Matumaini aliyoleta Kinana yamepotea
Kwa muda mrefu wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walikuwa wamekata tamaa na chama chao. Walikuwa na hakika kwamba chama chao kingeangushwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Kwa nini!
Udini sasa nongwa (5)
Katika sehemu hii ya tano na ya mwisho, Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbenna, anahitimisha makala yake ya awali kuhusu udini na athari zake nchini Tanzania. Maudhui kwenye makala haya ni kuwasihi Watanzania wote, bila kujali jinsi, hali, rangi na tofauti zozote zile, kuungana katika kukabiliana na hatari ya udini inayolinyemelea Taifa letu kwa kasi.
NuKUU ZA WIKI
Nyerere: Wanadamu huongozwa na sheria “Nchi zote duniani huongozwa na wanadamu na si malaika. Wanadamu hawa huongozwa na Sheria na si kwa akili zao wenyewe.” Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyasema haya wakati akihimiza Watanzania kulinda…
Taifa linawahitaji ‘wajasiriakazi’
Nimekuwa nikiandika makala za hamasa kuhusu ujasiriamali, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya kiuchumi ambapo kuna upungufu mkubwa wa ajira, lakini pia kuna mfumko wa gharama za maisha kiasi kwamba hata walioajiriwa wanapata wakati mgumu kumudu vema maisha ya kila siku.
Siasa inavuruga masuala ya Taifa
Tunapozungumzia siasa hatuwezi kudai kwa haki kwamba siasa ni kitu kibaya. Ungeweza kusema kwamba siasa ni maneno mazuri yanayomtoa nyoka pangoni. Kwa kifupi siasa inasaidia kutatua matatizo.