Category: Makala
Sisi Waafrika weusi tukoje? (1)
Siku moja nilipokuwa nikisherehekea siku yangu ya kuzaliwa, mjukuu wangu mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alinizawadia kitabu kiitwacho ‘Waafrika Ndivyo Tulivyo?’
Uchinjaji wawanyima viongozi usingizi
Mgogoro wa kugombea uchinjaji wanyama baina ya Waislamu na Wakristo unaendelea kuwanyima usingizi viongozi wa dini na serikali.
Nderakindo: Tubadilishe mfumo wa elimu tuinue uchumi
Tanzania haiwezi kuendelea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni, kama haitabadili mfumo wa elimu na kuwekeza zaidi katika sekta hizo.
NuKUU ZA WIKI
Nyerere: Miiko ya uongozi
“Siku hizi fedha ndio sifa kubwa ya mtu kuchaguliwa kuwa kiongozi. Miiko ya uongozi ambayo ni jambo la lazima katika kila nchi duniani, haipo tena hapa nchini.”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Udini sasa nongwa (5)
Katika makala iliyopita kwenye safu hii, tuliandika kwa makosa kuwa makala ile ingekuwa hitimisho. Tena kukawa na kosa lililoonyesha kuwa ilikuwa sehemu ya tano. Usahihi ni kwamba hii ndiyo sehemu ya tano na ya mwisho katika mfululilo wa makala hii…
Tatizo la Serikali ni kufuga matatizo
Nikitaka kusema kweli (na ni lazima niseme kweli), Serikali ya Tanzania si mbaya kama watu wengine wanavyotaka kutuaminisha.