Category: Makala
Je, Mkristo akichinja ni haramu? – 3
Wiki iliyopita makala haya yaliishia Mbunge Hafidh Ali Tahir, alipoiomba Serikali kuweka utaratibu wa kuchinja. Je, unajua majibu aliyotoa waziri? Endelea…
Sisi Waafrika weusi tukoje? (2)
Ndugu yangu Bundara anasema kwamba Waafrika waliiga matumizi ya Kizungu vizuri zaidi kuliko walivyoiga mbinu za Wazungu za uzalishaji. Ndiyo kusema tulitamani sana tabia na desturi za Wazungu angalau nasi tukubalike kama ni watu kama wao. Tulitaka tunukie Uzungu.
Kila Mtanzania atahiniwe
Kupata sifuri kwa asilimia 60 ya wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana, kusitufanye kushangaa kwamba watu hao wakoje. Kila mtu mzima wa Taifa hili ajiruhusu kusailiwa kuhusu yafuatayo:-
Wizara imegeuza shule za umma dampo la vitabu vibovu
Bunge la Uingereza kulipata kuwa na Mbunge aliyeitwa William Wilberforce. Kila aliposimama bungeni kuzungumza, alidai kuwa utumwa ukomeshwe. Ndipo sheria ya kukomesha utumwa katika makoloni ya Uingereza ikapitishwa mwaka 1807.
Teknolojia ya ‘Smart Card’ inayotumiwa NIDA yapongezwa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imefaulu kuendesha kazi ya Vitambulisho vya Taifa kwa umakini mkubwa.
Miaka 49 ya Muungano, kero 13 zisizotatulika
Aprili 26, ni siku ya maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe za maadhimisho haya zitafanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Saalam.
Sherehe hizo zinafanyika kukiwa na maswali kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili, yanayohusu kero zinazoukabili Muungano huo.