Category: Makala
MPOROGOMYI:
Waziri mstaafu aliyeanzisha kanisa
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha wakati wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Dk. Kilontsi Mporogomyi, ameanzisha kanisa. Kanisa hilo lenye Makao Makuu Makongo, linatambulika kwa Jina la Kanisa la Miujiza, Uponyaji, Kufunguliwa na Mafanikio.
FASIHI FASAHA
Miaka 50 hakuna maendeleo! -3
Katika makala mbili zilizotangulia nimeandika kuhusu kichwa cha habari hapo juu. Kwa maana kuwa baadhi ya viongozi na wananchi wa kawaida wanathubutu, tena bila haya, kupiga la mgambo kuwa eti miaka 50 hakuna maendeleo huku wanaendelea kuhamisha na kuiba mali na rasilimali za nchi kama kuwa ni haki yao na kupeleka nchi za nje.
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
Katiba Mpya iakisi uzalendo (Hitimisho)
Sehemu iliyopita, mwandishi alinukuu ibara ile ya kwanza ya
Mkataba wa Muungano na kusema mtu akiisoma atajua ilikuwa na viashiria vya undugu na umoja wetu wa asili kati ya watu wa nchi hizi mbili – Tanganyika na Zanzibar. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya Katiba Mpya iakisi uzalendo. Endelea
Maneno mazito namna hii na ya kizalendo kutoka kwa watu wa Zanzibar, leo mtu aje aseme mbona hatukushauriwa: Oh! mbona hatukuulizwa hivi. Wanaofyatuka kusema hivi walikuwa na umri gani Aprili 24, 1964? Pengine wala hawakuwa wameingia ulimwenguni. Leo waje na stori za watu wa Zanzibar eti waulizwe wanautaka Muungano au hawautaki ndipo Katiba yetu iandikwe ni sahihi kweli wazee wenzangu?
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
Mpunga, mahindi, miwa kuikomboa Tanzania
Leo nataka kujikita katika suala la Majadiliano ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote Smart Partnership Dialogue, ambayo ni dhana ya kiubunifu na msingi wake ni kanuni ya ‘Stawi Jirani Yangu kwa Manufaa Yetu Sote’.
Habari mpya
- Mradi wa TAZA mbioni kukamilika – Kapinga
- Serikali kuendelea Kuboresha Huduma za Afya ya Mama na Mtoto
- TMA yatoa angalizo la mvua kubwa kwa siku tano
- Tanzania yajipanga na maamuzi ya Trump kuhusu ARV
- MSD: Miaka minne ya Rais Dk Samia, amefanya mapinduzi makubwa ya uwekezaji sekta ya afya
- Dk Biteko azitaka mamlaka za maji kupunguza upotevu wa maji
- …Wadau wachambua miaka 4 ya Rais Dk. Samia madarakani
- Bunge latoa kongole utendaji ufanisi wa TPA
- UN: Majanga ya mazingira yaliwaacha wengi bila makazi 2024
- Emir wa Qatar awakutanisha Kagame, Tshisekedi
- Urusi na Ukraine zashambuliana baada ya mawasiliano ya Putin na Trump
- NFRA Yapanua Uwekezaji ,Ufanisi katika Sekta ya Mbolea Nchini
- Maendeleo Benki kutekeleza kwa vitendo huduma ya kifedha kidigitali
- Serikali yavuna bilioni 3/- ndani ya miezi mitatu
- Bunge la Ujerumani kupitisha kuzuia kikomo cha ukopaji