Category: Makala
Ufaulu Hisabati bado ni tatizo
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mchakato wa utekelezaji wa sera ya Tanzania ya viwanda unapaswa kuanzia shuleni na vyuoni kwa kuwaandaa wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu. Ni lazima kutekeleza sera hiyo kwa vitendo baada ya mafunzo na…
Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (4)
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Paulo Mapunda Hapo zamani Mungu alikwisha kufunua kupitia ndoto ya Nebukadreza, Mfalme wa Babeli (The King of the Ancient Mesopotamia) iliyotafsiriwa na Daniel, Nabii (Daniel 2:44, 45) kwamba utawala wa Mungu ndio utakaosimama mwisho baada…
Kukithiri michango ya matibabu, ishara ya tatizo mfumo wa afya
Moshi Na Nassoro Kitunda Imekuwa ni kawaida sasa wananchi kuomba fedha kwa ajili ya matibabu. Afya ni huduma muhimu ambayo wananchi wanaihitaji sana. Ukipitia mitandao ya kijamii, utaona namna watu wanavyoomba kuchangiwa matibabu, na ni mamilioni ya fedha ili waweze…
Uganda yaamuriwa kuilipa DRC mabilioni
Na Nizar K Visram Mahakama ya Kimataifa (ICJ) iliyo Uholanzi imeihukumu Uganda kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) dola za Marekani milioni 325 (sawa na zaidi ya Sh bilioni 752) kama fidia kutokana na majeshi yake kuingia DRC mwaka…
Keki ya taifa inapoipindua nchi
DODOMA Na Javius Byarushengo Januari 22, 2022, jeshi la Burkina Faso lilifanya mapinduzi baridi kwa kumuondoa madarakani Roch Kabore, Rais aliyechaguliwa kidemokrasia. Kama ilivyo ada, yanapofanyika mapindiuzi, hupingwa kila kona ya dunia huku Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika…