Category: Makala
Watanzania huu ndiyo ugaidi
Ndugu zangu nikiwa nawaza tukio baya la ugaidi lililotokea nchi jirani ya Kenya, punde napokea waraka kutoka kwa ndugu yangu Goodluck Mshana. Kipekee nianze kwa kuipa pole ya dhati Serikali ya Kenya na watu wake juu ya tukio la kigaidi lililotokea hivi karibuni. Aidha, niwapongeze wananchi wote wa Kenya kwa moyo wa kutoa pesa na damu kwa wapendwa wao.
Mwarobaini wa uhaba wa maji Kwembe wapatikana
Moja ya matatizo yanayowakabili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni ukosefu wa maji. Jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanywa na Serikali, lakini bado tatizo hili limeonekana kuwa kubwa.
Mwarobaini wa uhaba wa maji Kwembe wapatikana
Moja ya matatizo yanayowakabili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni ukosefu wa maji. Jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanywa na Serikali, lakini bado tatizo hili limeonekana kuwa kubwa.
Tuepuke vurugu kwa kutenda haki
Juma lililopita, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, alimwomba Rais Jakaya Kikwete auridhie Muswada wa Marekebisho ya Mabadiliko ya Sheria ya Katiba, kwa lengo la kuepusha vurugu nchini.
Wadau wasikitika magazeti kufungiwa
Wadau mbalimbali wa habari wameeleza kusikitishwa kwao na kufungiwa kwa magazeti ya Mwananchi na Mtanzania.
Gazeti la Mwananchi limefungiwa kwa siku 14 wakati Mtanzania limefungiwa kwa siku 90.
Tanzania tuige Bunge la Kenya
Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama nchini Kenya imeonesha mfano mzuri unaostahili kuigwa hapa Tanzania. Kamati hiyo imetangaza kusudia lake la kuwahoji wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wa Kenya kuhusu tukio la ugaidi katika jengo la kitega uchumi, Westgate jijini Nairobi.