JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kamati ya Bunge kuamua hatma ya Pinda

Mara kwa mara Bunge linapounda kamati teule na ripoti yake kusomwa bungeni, zimekuwa zikisababisha kuondoka madarakani kwa watendaji mbalimbali.

Yah: Sasa naomba kura zenu rasmi 2015

Nilikuwa nimekaa natafakari katika kipindi hiki chote cha maisha yangu, ni lini naweza nikajitoa kwa ajili ya Taifa langu, lakini pia nikajiuliza nitaanzia wapi?

Wizara ya  Elimu imekosa viongozi wazalendo

Katika toleo la Gazeti la JAMHURI la Oktoba 29-Novemba 4 mwaka huu, Jenster Elizabert wa Mwanza amenipongeza kwa kupigania elimu bora Tanzania kwa njia za makala zinazozungumzia masuala mbalimbali ya elimu.

SMZ yaigeuza Pemba Ulaya ndogo

Wakazi wa kisiwa kidogo cha Kokota katika Wilaya ya Wete kisiwani Pemba, wameishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa kushirikiana na washirika wa maendeleo kuwatatulia kero zilizokuwa zikiwakabili kwa muda mrefu.

Kufuata maadili ni kinga ya madhara kwa waandishi

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, ametoa changamoto mpya kwa waandishi wa habari nchini.

Kinachonifanya nimpende Lowassa ni hiki

Wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, tayari yanasemwa mambo mengi kuhusu ni nani atakayekuwa mrithi wa nafasi ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.