Category: Makala
Maswi: Gesi imeanza kuwatajirisha Mtwara
“Kazi ya kuunganisha na kusambaza mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam imefikia hatua ya kuridhisha. Kazi hiyo inafanywa na mashirika yenye uzoefu mkubwa kimataifa, ambayo ni Shirika la Teknolojia na Mendeleo ya Petroli la China (CPTDC), Kampuni ya Kutengeneza Mabomba ya China (CCP), Worley Parsons Limited na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Tayari mpaka sasa kilomita 142 kati ya 542 zimekamilika. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Desemba mwakani na utakuwa na mitambo ya kisasa.”
Kinachonifanya nimpende Lowassa, hitimisho
Wakati naandaa makala niliyosema “Kinachonifanya nimpende Lowassa ni hiki” na kuichapisha katika gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita, hayakuwa mategemeo yangu kama makala hiyo ingeigusa jamii kwa kiasi nilichokishuhudia. Nimepigiwa simu nyingi mno, nimetumiwa ujumbe mfupi wa maandishi mwingi, na bado mpaka sasa naendelea kupokea simu na ujumbe!
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -4
Katika sehemu ya tatu ya makala haya wiki iliyopita, nilizungumza uchanga wa vyama vya siasa na malengo yao. Pia niligusia kauli iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa Uchaguzi Mkuu 1995 kuhusu uwezo wa vyama vya upinzani kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2015. Leo tunaendelea…
Hivi tunavyozungumza CCM na vyama vya upinzani kila kimoja kimo katika harakati ya kupanga mipango ya kushinda uchaguzi huo. CCM itafikisha miaka 38 na baadhi ya vyama vya upinzani vitafikisha miaka 23. Hapatakuwa tena na suala la uchanga wala watoto. Labda suala la utoto!
FIKRA YA HEKIMA
Kagame, Museveni, mkataa wengi ni mchawi
Ndoto za Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kutaka kuzitenga nchi za Tanzania na Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeyeyuka.
Sasa ushindi uko mikononi mwa UTATU MWAMINIFU (Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya).
Kibanda alistahili Tuzo ya Mwangosi
Ni siku ya historia ya pekee hapa Tanzania, siku ambayo mwandishi wa habari Absalom Kibanda na mjane wa Daudi Mwangosi, Itika, wamemwaga machozi mbele ya umati wa waandishi wa habari ukumbini.
EFD kuongeza mapato ya Serikali wapiga kura
Serikali imeamua kuanzisha mfumo wa uotoaji risti kwa kutumia Mashine za Kielekitroniki za Bodi (EFD). Kwa mujibu wavuti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mfumo huo unachukuwa nafasi ya mashine za rejesta za fedha ambazo zimekuwa zikitumika zamani.
Mashine hizo hazikukidhi mahitaji yaliyotarajiwa ikiwa ni pamoja na kurahisisha mauzo kwenye sehemu za biashara.
Habari mpya
- Benki Kuu yanunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa nchini – Waziri Mavinde
- Watakia kuchukua vitambulisho vyao NIDA
- Rais Dkt. Samia azungumza na viongozi mara baada ya kuwaapisha Majaji Ikulu Dodoma
- Rais Samia, Dk. Nchimbi njia nyeupe Ikulu
- Sakata la Abdul, Nimemkumbuka Ridhiwan Kikwete
- Kitima ana biashara gani CHADEMA?
- Ni Samia
- Mkuu wa Majeshi Israel ajiuzulu
- Majaliwa : Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwa TMA
- Pugu Marathon 2025 awamu ya Tatu Kufanyika Mei 31, mwaka huu
- Kliniki ya sheria bila malipo yazinduliwa Kilimanjaro
- Gethsemane group Kinondoni yaipua wimbo wa Ni siku yetu
- Waziri Kombo awakaribisha wafanyabiashara wa Czech
- Mbowe akemea lugha chafu kipindi cha kuelekea uchaguzi wa CHADEMA
- Dk Biteko ataka mitaala vyuoni iendane na mabadiliko ya teknolojia