JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

UJUMBE WA KWARESMA – (3) ‘Tunawasihi kwa jina lake Yesu  Kristo, mpatanishwe na Mungu’

Mafundisho ya Mt. Yohane Paulo II (Papa) 19. Mt. Yohane Paulo II (Papa) aliona umuhimu wa upatanisho kwa Kanisa na kwa ulimwengu mzima.  Papa aliona upatanisho kama njia ya kuuponya ulimwengu uliovunjika kutokana na mgawanyiko katika uhusiano kati ya watu binafsi na…

Usiyapoteze machozi yako

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Ukimpiga mbwa viboko vitano na binadamu viboko vitano, binadamu anaumia sana kuzidi mbwa kwa sababu binadamu analeta mateso aliyoyapata wakati huu, na aliyoyapata zamani na atakayoyapata; anaumia sana. Anatoa machozi.  Msemo wa kuwa ‘wafalme hawalii’…

Vita ya Ukraine ni neema kwa kampuni za mafuta

Na Nizar K Visram Baada ya Urusi kuishambulia Ukraine, Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) wakatangaza vikwazo dhidi ya Urusi, lengo likiwa ni kuibana isiweze kuuza bidhaa zake kama mafuta na gesi katika soko la Ulaya na kwingineko. Urusi ni…

Watu wasilazimishwe kulala mapema

Nianze kwa kumpongeza kiongozi wetu Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. Mwaka mmoja ni muda mfupi, lakini kiongozi wetu amethibitisha nia yake njema ya kuwa na Tanzania yenye…

UJUMBE WA KWARESMA – (2)                                                            ‘Tunawasihi kwa jina lake Yesu  Kristo, mpatanishwe na Mungu’

Hii ni sehemu ya pili ya Ujumbe wa Kwaresma kwa mwaka 2022 kama ulivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). Tuendelee… Agano Jipya 9. Kwa njia ya dhambi binadamu anatengeneza uadui na  Mungu. Anatengwa na Mungu na anakuwa chini ya…

Kwa nini Katiba mpya ni muhimu

Morogoro Na Everest Mnyele Katiba tuliyonayo sasa pamoja na marekebisho yake, ni ya mwaka 1977. Katiba hii ni matokeo ya kuundwa kwa chama kimoja cha siasa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Februari 5, 1977.  Katika hali ya kawaida, Katiba iliyopo pamoja…