JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Talaka chanzo cha tatizo la watoto wa mitaani, afya ya akili

Na Patricia Kimelemeta, JamhuriMedia TALAKA, ugomvi, mifarakano na migogoro ndani ya ndoa ni miongoni mwa sababu zinazochangia baadhi ya watoto kuishi mitaani na wengine kupata changamoto ya afya ya akili. Hali hiyo pia inawakumba hata watoto walio chini ya miaka…

Miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia na kuimarika kwa mapambano dhidi ya rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rushwa ni tatizo la kidunia lenye madhara makubwa kwa mtu, jamii, nchi na mataifa kwa ujumla. Rushwa imetumika kupoka haki za watu kwa kumnyanganya haki yeye aliyeistahili na kumpa yule asiyeistahili kwa sababu…

Uzazi wa mpango ni uwekezaji wenye faida endelevu

Na Stella Aron, JamhuriMedia Uzazi wa mpango ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania, huokoa maisha kwa kusaidia kupunguza magonjwa ya kina mama na vifo, na kuongeza viwango vya kuishi kwa watoto wachanga na watoto. Serikali ya Tanzania inatambua hitaji la…

Watoto 10 kufanyiwa upasuaji Zambia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Watoto 10 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wanatarajia kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalumu ya upasuaji inayofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Moyo ya nchini Zambia. Kambi hiyo ya upasuaji ya siku…

Majaliwa : Sekta ya mawasiliano ni kichocheo cha maendeleo nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia IBARA 18 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa “Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli…

Vitendo vionekane mapambano afya ya akili

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Geita Maneno matupu hayavunji mfupa. Msemo huu hulenga kuihamasisha jamii kuchukua hatua sahihi za kiutendaji ili kufikia malengo kusudiwa badala ya kuzungumza sana pasipo utekelezaji wowote. Kwa muda mrefu jamii imekuwa na mtazamo wa shaka katika…