Category: Makala
Rais ajaye na hatima ya Tanzania (1)
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema yote anayotujaalia. Naamini kuwa ni kwa uwezo na mapenzi yake Mungu ndiyo maana tunayaweza yote tuyatendayo katika maisha yetu ya kila siku. Hivyo, ni wajibu na haki kumshukuru yeye aliye na uwezo na…
Rais safi inawezekana, tutimize wajibu
Mwaka 2015 una mshindo mkubwa kwa Watanzania, mshindo unaotokana na matendo matatu muhimu yanayowaweka wananchi katika hekaheka na fukuto la moyo.
Nini ufanye ukihisi mwenza wako anataka kuuza nyumba, kiwanja?
Upo wakati katika ndoa ambako mmojawapo anaweza akawa anataka kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilhali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo, kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa si mwanandoa, lakini ana…
Yah: Na mimi nataka ukuu wa wilaya siku moja?
NA BARUA YA S.L.P. Mzee Zuzu, C/O Duka la Kijiji Kipatimo, S.L.P. Private, Maneromango. Mtanzania Mwenzangu, Yahoo.com/hotmail.com/excite.com/www.http, Tanzania Yetu. Kuna tetesi kwamba ukuu wa wilaya unagawiwa kama njugu na wanaosema hivyo labda wana taarifa kamili juu…
Mwaka mwingine wa kumkumbuka Mwalimu Nyerere
Katika sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, amenukuliwa akiwasihi wanachama wenzake kuhimiza kujitokeza mgombea atakayeiletea CCM ushindi kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
Kuna ulimwengu mpya wa biashara
Hivi karibuni nilikutana na bwana mmoja mtaalamu wa masuala ya kompyuta, aliyenishawishi na kunishauri niwe na “application” kwenye “google play”. (Nimeshindwa kupata Kiswahili cha “Google Play” na “Application”). Kwa kifupi huu ni mfumo unaopatikana kwenye simu za “Smartphones, tablet na iPads”, ambao unakuwezesha kuwasiliana na kufanya biashara.