JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

UJUMBE WA KWARESMA – (2)                                                            ‘Tunawasihi kwa jina lake Yesu  Kristo, mpatanishwe na Mungu’

Hii ni sehemu ya pili ya Ujumbe wa Kwaresma kwa mwaka 2022 kama ulivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). Tuendelee… Agano Jipya 9. Kwa njia ya dhambi binadamu anatengeneza uadui na  Mungu. Anatengwa na Mungu na anakuwa chini ya…

Kwa nini Katiba mpya ni muhimu

Morogoro Na Everest Mnyele Katiba tuliyonayo sasa pamoja na marekebisho yake, ni ya mwaka 1977. Katiba hii ni matokeo ya kuundwa kwa chama kimoja cha siasa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Februari 5, 1977.  Katika hali ya kawaida, Katiba iliyopo pamoja…

Elimu ardhi mgogoro wa Makonda, Gharib

Bashir  Yakub Kwanza; ukinunua ardhi (nyumba, kiwanja, shamba) hakikisha unafanya ‘transfer’ (kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako, mnunuzi) mara moja kadiri uwezavyo. Wengi mkinunua kwa sababu hakuna anayekulazimisha kufanya ‘transfer’ kwa haraka, basi mkishakabidhiwa hati na mikataba ya mauziano…

Hotuba ya Dk. Mwinyi kwa wahariri

Ifuatayo ni hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), aliyoitoa kwenye Ukumbi wa Idris Abdul Wakil, Zanzibar,…

SIKU YA WANAWAKE Binti mwendesha mitambo avutia wengi

ARUSHA Na Zulfa Mfinanga Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani (IWD) hufanyika Machi 8 ya kila mwaka tangu yalipoanza kuadhimishwa kimataifa mwaka 1911. Ni zaidi ya miaka 25 sasa tangu kufanyika kwa Mkutano wa Beijing ulioweka bayana makubaliano ya msingi…

Tafsiri halisi Mbowe kufutiwa mashitaka

Na Bashir Yakub Nimemsikia Mwenyekiti wa Chama cha Dermokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akisema kuwa hakutaka kufutiwa mashitaka bali alitaka kesi ifike mpaka mwisho (yaani hukumu). Yawezekana anasema hivyo kutokana na sababu ya tafsiri halisi ya kufutiwa kwake mashitaka. …