Category: Makala
Yah; Sasa natamani kuwa rais wa awamu ijayo
Kuna wakati nahisi kuwa kama kichaa maana nafikiria vitu ambavyo ni kama mbingu na ardhi, haiwezekani kutokea katika ulimwengu wenye fatiki kali za kisiasa na kiuchumi. Haziwezekani kwa sababu kuna mambo ya uanachama na kujulikana, haiwezekani kwa sababu kuna…
Kukataa rushwa ni ukombozi kwetu
Na Angalieni Mpendu Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa. Msemo wa ilani hii umesemwa miaka mingi katika nchi yetu, tangu awamu ya kwanza hadi hii ya nne ya utawala wetu huru wa Watanzania. Nasema kabla…
Matumizi ya mtandao yanakosa busara sasa
Taarifa za uongo za hivi karibuni zilizosambaa kueleza kuwa Mama Maria Nyerere ameaga dunia zimeibua maswali kuhusu wajibu na umakini wa baadhi ya watu wanaotumia teknolojia ya habari na mawasiliano. Aliyeanzisha uongo huo ni dhahiri alifahamu kuwa anaandika uongo kwa…
Kubadili hati ya nyumba, kiwanja kwa haraka andaa nyaraka hizi
Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina, yaani kutoka mmiliki wa awali kwenda kwa mmilki mpya aliyenunua. Upo usumbufu unaosababishwa kwa makusudi na maofisa wanaohusika, lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka kubadili…
Wateja wa ulimwengu mpya wa biashara
Katika makala mbili zilizopita nilikuwa nikichambua kuhusaina na ulimwengu mpya wa biashara. Nilieleza kwa kina namna uchumi ulivyohama kutoka viwanda kwenda taarifa na huduma, na hivyo kuathiri namna biashara zinavyofanyika. Katika makala zile mbili nilieleza kwa sehemu kubwa kuhusu taarifa…
Barua ndefu kwa Zitto Zuberi Kabwe
Ustaarabu wetu adhimu wa Kiafrika turiourithi kutoka kwa wahenga unatutaka vijana kuwa na heshima na kufanya maamkizi kwa wakubwa – 'shikamoo komredi Zitto Kabwe'. Nakuandikia barua hii nikifahamu pasi shaka yoyote kuwa kamwe hutaishangaa. Kama ujuavyo, uandishi wa barua…