Category: Makala
Mke asiye wa ndoa, mtoto wa nje hawarithi kisheria
Kumekuwa na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea hayati alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshuhudia ugomvi mkubwa misibani, pia tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali…
Wakati Dar kumejaa, tusisahau vijijini
Nionavyo mimi, jiji la Dar es Salaam limejaa. Watu, magari, na changamoto za kila aina. Takwimu za Sensa ya Taifa ya mwaka 2012 ilionesha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na wakazi 3,133 kwa kilomita ya mraba wakati wastani…
Mikopo ni sehemu ya biashara
Visa na mikasa ya wajasiriamali kukopa na baadaye kujikuta wakishindwa kurejesha mikopo yao ni vingi sana mahali pote, si tu Tanzania bali duniani kote. Mikopo imekuwa chanzo cha baadhi ya wajasiriamali na wafanyabiashara kudhalilika, kurudi nyuma kimaendeleo na hata…
Membe alivyopokewa na Ukoo wa Nyerere Burito
Wanaukoo wa Burito ambao ndiyo chimbuko la ukoo wa Chifu Nyerere Burito, hivi karibuni ulifanya Mkutano Mkuu wa Ukoo wa mwaka 2015. Mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi. Kulikuwa na wageni waalikwa wengi, akiwamo Waziri…
Uraia siyo uzalendo
Na FX Mbenna BRIG GEN (MST) Kuna tofauti kubwa kati ya maneno haya mawili – uraia na uzalendo. Hapa nchini Tanzania upo mkanganyiko mkubwa wa utumiaji usio sahihi wa maneno mbalimbali. Baadhi yetu tunaona neno uraia ni sawa tu…
Kweli Rais Kikwete kachoka
Rais Jakaya Kikwete ameshachoka. Huhitaji kuwa mnajimu kulijua au kuliona hilo. Mwaka jana akiwa ughaibuni, mbele ya viongozi wengine wa Afrika na dunia, hakusita kuwathibitishia kuwa kachoka. Akasema anasubiri kwa hamu muda wake wa kung’atuka uwadie arejee kijijini kuendelea na…