JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah:  Uhuru wa waganga wa kienyeji Tanzania

Siku kadhaa zilizopita, tumesikia baadhi ya miswada ya sheria ikiwa inafanyiwa kazi, kitu kizuri zaidi ni jinsi ambavyo sheria zilivyobainishwa na kuwa sheria nzuri kwa maana ya ukali wake kwa jamii ambayo ikikosea kufuata masharti itawajibika na adhabu hiyo.  …

Tumkumbuke, tumuenzi Sheikh Abeid Karume

  Leo tarehe 7 Aprili ni siku ya huzuni kwa Watanzania tunapokumbuka tukio la kikatili la kuuawa kwa mwanamapinduzi, mkombozi na mpigania haki ya Mwafrika na mpenda amani duniani, Sheikh Abeid Amani Karume.  Ni majira ya jioni, Aprili 7, 1972…

Ya kale siyo yote ni dhahabu

Leo tunatimiza miaka 33 tangu kuuawa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni mojawapo ya matukio makubwa katika historia ya Zanzibar na historia ya Tanzania kwa ujumla. Maadhimiisho kama haya yanakuwa na…

Wajua mgawanyo wa mali ndoa ya mke zaidi ya mmoja inapovunjika?

Kipindi fulani huko nyuma wakati nikieleza masuala ya sheria za ndoa, nilipata kuzungumzia utaratibu wa mgawanyo wa mali iwapo ndoa inavunjika. Kimsingi nilieleza mgawanyo wa mali katika msingi wa uwepo wa ndoa ya mke mmoja. Sikuwahi kueleza mgawanyo wa mali…

Barua ya kijasiliamali kwa wanawake

Ndugu akina mama na akina dada, nawasalimu kwa salamu za fedha ziletwazo na uchumi na ujasiriamali. Naamini barua hii itawafikia salama mkiwa mmesherehekea Pasaka kwa amani na mkiwa mmeanza robo ya pili ya mwaka kwa mafanikio.  Si mara yangu ya…

Mahakama ya Kadhi yamgeuka Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameliweka njiapanda Bunge la Jamhuri ya Muungano, baada ya kuwalazimisha wabunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitisha muswada wa Mahakama ya Kadhi. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Msekwa Machi 21, mwaka huu. Katika mkutano huo…