JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ukombozi na mapinduzi kwa wanawake

Napenda kusema kwa mama zangu kuwa suala la ukombozi daima huambana na mapinduzi. Hayo ni mapambano yanayohitaji dhamira, busara, ujasiri na utashi wa kujikomboa kifikra na kiutamaduni.  Kabla sijazungumzia ukombozi na mapinduzi ya mwanamke wa Kitanzania, nimeamua kwanza kuwafahamisha imani…

Namna ya kumsaidia ndugu yako kupata dhamana Polisi

DHAMANA NININI? Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na kesi kwa siku zijazo.  Kwa hiyo, ili lije suala la dhamana ni…

Sheria ya Makosa ya Mtandao ina hitilafu kubwa

Nilipata fursa ya kushuhudia kwenye runinga majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015. Kwa mtazamo wangu, sheria ikianza kutumika kutakuwa na ongezeko kubwa la watumiaji wa mawasiliano; hasa ya simu, kubebeshwa makosa, kulipa faini, na…

Ni vigumu kutokomeza ukeketaji

Vita dhidi ya ukeketaji kwa wasichana na kinamama Wilaya ya Tarime mkoani Mara, inaweza kuwa ngumu kwa sababu mangariba huchukulia jambo hilo kama ajira licha ya kuwa ni ya msimu tu, likifanyika kila Desemba. Taarifa kwamba wanafaidika kiuchumi imetolewa na…

Siri ya Ugaidi

Kitendo cha nchi za Afrika Mashariki na Kati kuandaa mafunzo ya kudhibiti ugaidi, kinaelezwa kuwatia hasira kundi la al-Shaabab hadi kuvamia na kuua watu zaidi ya 150 nchini Kenya.   Jumla ya askari 300 kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Tanzania,…

Rais Buhari kuinusuru Nigeria

Hakuna ubishi kwamba Marekani ni taifa kubwa kwa kujiimarisha kiuchumi na kiusalama. Kadhalika, hakuna ubishi kwamba rais wa Marekani ndiye anayetafsiriwa kuwa ni kiongozi wa dunia. Hii inatokana na vyombo vikubwa vya uamuzi kama vile Umoja wa Mataifa (UN) vinaisikiliza…