JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Umuhimu wa kuwa na Katiba ya umma madhubuti

Morogoro Na Everest Mnyele  Wiki iliyopita tulizungumzia umuhimu wa kuwa na Katiba mpya ya umma. Ninajua kuwa kuna wataalamu wengi wameandika juu ya umuhimu wa kuwa na katiba thabiti ya umma.  Nia yangu ni kuendelea kusisitiza umuhimu wa kuwa na…

KARIBU MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI Funga ya Ramadhani chuo cha tabia njema

Leo Jumanne Machi 29, mwaka 2022 ni sawa na tarehe 26 Shaaban (Mwezi wa 8 kwa Kalenda ya Kiislamu inayoanza Mwezi Muharram – Mfungo Nne) Mwaka 1443 Hijiriyya (toka kuhama kwa Mtume Muhammad –Allah Amrehemu na Ampe Amani – kutoka…

UJUMBE WA KWARESMA – (3) ‘Tunawasihi kwa jina lake Yesu  Kristo, mpatanishwe na Mungu’

Mafundisho ya Mt. Yohane Paulo II (Papa) 19. Mt. Yohane Paulo II (Papa) aliona umuhimu wa upatanisho kwa Kanisa na kwa ulimwengu mzima.  Papa aliona upatanisho kama njia ya kuuponya ulimwengu uliovunjika kutokana na mgawanyiko katika uhusiano kati ya watu binafsi na…

Usiyapoteze machozi yako

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Ukimpiga mbwa viboko vitano na binadamu viboko vitano, binadamu anaumia sana kuzidi mbwa kwa sababu binadamu analeta mateso aliyoyapata wakati huu, na aliyoyapata zamani na atakayoyapata; anaumia sana. Anatoa machozi.  Msemo wa kuwa ‘wafalme hawalii’…

Vita ya Ukraine ni neema kwa kampuni za mafuta

Na Nizar K Visram Baada ya Urusi kuishambulia Ukraine, Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) wakatangaza vikwazo dhidi ya Urusi, lengo likiwa ni kuibana isiweze kuuza bidhaa zake kama mafuta na gesi katika soko la Ulaya na kwingineko. Urusi ni…

Watu wasilazimishwe kulala mapema

Nianze kwa kumpongeza kiongozi wetu Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. Mwaka mmoja ni muda mfupi, lakini kiongozi wetu amethibitisha nia yake njema ya kuwa na Tanzania yenye…