Category: Makala
Wafanyakazi ndiyo injini katika ujasiriamali
Mwishoni mwa Februari mwaka huu nilikuwa nikisafiri kutoka Wilaya ya Mvomero kuelekea Kilombero mkoani Morogoro. Nilipofika Morogoro mjini niliingia kwenye basi moja ambalo linafanya safari zake kati ya Morogoro mjini na Ifakara. Muda niliokata tiketi katika basi hilo ilikuwa ni…
Nape asimamia msimamo Panga CCM liko palepale
Na Angela Kiwia Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, anasema kwamba kada yeyote atakayepatikana na hatia ya kukiuka maagizo au taratibu za Chama Cha Mapinduzi (CCM), atachujwa tu. Kadhalika, amesema kwamba kwa watakaokatwa…
CCM ni ya kuzikwa tu Oktoba 2015
Watanzania, mabadiliko ni leo si kesho; mabadiliko ni wiki hii si wiki ijayo; ni mwezi huu si ujao, mabadiliko ni mwaka huu si mwakani. Kesho hujaiona na hujui itakuaje, lakini uamuzi wako wa leo unaweza kuharibu kesho yako au unaweza…
JAMHURI latikisa tuzo za Ejat
Waandishi wa habari wa Gazeti la JAMHURI, Deodatus Balile na Victor Bariety, mwishoni mwa wiki iliyopita walijinyakulia tuzo za umahiri wa uandishi wa habari nchini (EJAT), zinazotolewa kila mwaka na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Balile aliongoza katika kundi la…
Mpinzani gani hana vinasaba vya CCM?
Weledi wa Sayansi ya Siasa wanaitambulisha siasa kuwa ni mfumo wa maridhiano unaohusisha kikundi cha watu walioafikiana kuwa na uamuzi wa pamoja (politics involves the making of a common decision for a group of people). Kadhalika, uamuzi wa aina hiyo…
Magari mengi nchini ni utajiri au ulofa?
Kwa muda mrefu sasa nina dukuduku la kuuliza Wanatanzania wenzangu hasa wale wachumi waliobobea kama akina Profesa Ibrahim Lipumba au Profesa Simon Mbilinyi vile. Suali langu; ni vigezo gani katika Taifa linaloendelea vinaonesha kukua kwa uchumi katika Taifa? …