Category: Makala
Ukimya wetu kwa CCM hii, unatosha
Mara baada ya kusoma makala hii, bila shaka utabaki kwenye akili ya mmoja wa wanafalsafa wa Uingereza aliyeitwa Francis Bacon (1561-1626). Alipata kunena kwamba “Anayeuliza mengi atajifunza mengi, na kubaki na mengi.” Hii maana yake ni kwamba hakuna mtu…
Brig. Jenerali Mbitta aipa siri JAMHURI
Wiki mbili tangu kufariki na kuzikwa kwa Brigedia Jenerali Hashim Idd Mbitta, gazeti la JAMHURI limeibuka na makala ya mwisho aliyofanya mpiganaji huyo na aliyekuwa mwandishi wa mwandamizi wa gazeti hili, EDMUND MIHALE. Katika mahojiano hayo yaliyofanyika Desemba 2013, Mhariri…
Yah: Naipenda Tz ya wajinga wengi
Kuna wakati huwa najiuliza, hivi ni kweli kwamba ngozi nyeusi ni alama ya laana au mkosi? Sipati jibu kwa kuwa wapo ambao wana ngozi nyeusi na hawakumbwi na laana hiyo, lakini pia huwa najiuliza, ni kweli kwamba kutawaliwa ni dalili…
Tunajivunia miaka 51 ya Muungano wa Tanzania
Jumapili iliyopita ya Aprili 26, Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar ulitimiza miaka 51 tangu ulipoasisiwa mwaka 1964 na Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Sheikh Abeid…
Kumshitaki kwa jinai aliyevamia ardhi yako
Katika migogoro ya ardhi, yapo mambo mengi ambayo hujitokeza. Yumkini hii yote huwa ni katika kusaka haki. Liko jambo moja ambalo ni muhimu watu kulijua hasa wale ambao tayari wamejikuta katika migogoro ya ardhi. Mara nyingi imekuwa ikitokea pale mtu…
Kuchanganya lugha ni changamoto endelevu
Watanzania wengi wanaozungumza Kiswahili na waliojaaliwa kupata kiasi fulani cha elimu, huugua ugonjwa ambao moja ya dalili zake ni kuongea au kuandika kwa kutumia zaidi ya lugha moja. Na kwa kawaida, lugha ya pili huwa ni Kiingereza. Akifunga Mkutano…