Category: Makala
Wingi wa watu: Athari, faida zake
Uzazi wa mpango umekosolewa na baadhi ya watu kuwa ni njama za nchi za Magharibi ambazo zinakabiliwa na tatizo la, ama kupungua kwa idadi ya watoto wanaozaliwa, au kuwa na familia ambazo hazina watoto kabisa. Kwa upande mmoja wingi wa…
Punguzo jipya la kodi, tozo, ada za ardhi
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alipowasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka fedha 2015/16 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizungumzia mambo mengi ambayo ni muhimu…
Tupo kwenye zama za ujasiriamali zilizoufukia ujamaa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kuanzisha mfumo wa kiuchumi wa Ujamaa na Kujitegemea miaka michache baada ya Tanganyika kujipatia uhuru wake. Kwa kufanya hivyo alikuwa ameamua kufuata mawazo ya akina Adam Smith, David Ricardo, Milton Friedman, Fredrich Hayek, Ayn…
CCM iruhusu ushindani wa haki urais
Kwa wiki takribani nne hivi, sijaonekana katika safu hii. Sikuonekana kutokana na matatizo ya msiba, lakini pia nikalazimika kufanya kazi mikoani. Huku niliko nakumbana na tunachopaswa kupambana kukiondosha. Sehemu nyingi za mikoani hakuna huduma ya data (Internet), simu zipo ila…
Nini kimewachochea wasaka urais ?
Mara baada ya ratiba ya ndani ya CCM kutolewa, kumekuwapo na mfumuko wa wagombea waliojitokeza kuchukua na kurudisha fomu ya kuwania urais. Swali la kujiuliza ni je, utitiri huu umechochewa na nini? Hoja hii ni mtambuka ambayo inagusa maeneo…
Tunamhitaji Rais Mtendaji Mahiri, Jasiri
Wanaowania urais wa Awamu ya Tano Tanzania, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), walianza kuchukua fomu mjini Dodoma Jumatano Juni 3, 2015. Inaonekana wengine waliokuwa wanatajwatajwa, wanasita, hawajajitokeza kugombea, hawajachukua fomu! Labda watajitokeza baadaye, au wanaona hawana nafasi nzuri….