Category: Makala
Changamoto za kulea watoto Tanzania
Utafiti uliofanyika nchini Uingereza unaonyesha kuwa gharama kwa wazazi ya kutunza mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kutimiza miaka 21 zilikuwa ni Paundi (£) 227,267 za Uingereza. Hii ni taarifa ya mwaka 2014 na ni kwa mujibu wa kituo cha utafiti wa…
Jihadhari; haya ni mazingira ya kufutiwa umiliki wa ardhi
Watu wengi wana maeneo lakini wameyatelekeza. Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi, Sura ya 113, kutelekeza eneo ni kosa ambalo mtendaji wake ambaye ni mwenye eneo anatakiwa kuadhibiwa. Nitoe tahadhari kuwa si vema watu kujisahau baada ya kuwa wamemiliki maeneo. Wakati…
Tunalindaje kampuni zetu?
Wakati fulani kule Marekani kulitokea malumbano makali baina ya kampuni mbili kubwa zenye nguvu na ushindani mkali. Kampuni zilizohusika katika sakata hili zilikuwa ni ile ya Brother na nyingine ni Smith Corona. Kampuni hizi zilijihusisha na utengenezaji wa bidhaa zinazofanana…
Wale wa Lowassa, msiwe kama Petro
Kwanini awe ni Lowassa na si wengine waliotia nia ya kuwania urais? Ukimshtukiza mtu yeyote na kumuuliza ni kada gani kati ya hao waliotia nia angependa awe rais ajaye, kila mmoja atatoa jibu lake kutokana na mapenzi aliyonayo kwa mgombea…
Kiburi chanzo cha ajali
Ajali ya gari iliyoua watu 23 papo hapo na kujeruhi wengine 34, imeongeza maumivu mengine kwa Watanzania ambako sasa takwimu zinaonesha zaidi ya abiria 1,000 wamepoteza maisha. Ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita ilihusisha basi la Kampuni ya Another…
Kampuni yatelekeza minara ya simu
Minara 292 ya mawasiliano iliyojengwa na Kampuni ya Simu ya Excellentcom Tanzania mwaka 2008, imetelekezwa bila kutoa huduma yoyote, JAMHURI linaripoti. Baada ya kuitelekeza kwenye viwanja ambavyo baadhi vina makazi ya wamiliki wa ardhi hiyo, kumefanya kampuni hiyo sasa kudaiwa…